Hizi bangi za kukaa nyuma ya keyboard na kushindana ujinga, eti kisa ku prove kuwa nyie waKenya ni bora wakati pesa zinapigwa nje nje muache..
Mi naomba tufikie muda sasa kwenye mambo ya kipuuzi kama haya ya kifisadi tuwe tunaungana...kama TZ wameficha data kwa IMF ni upuuzi basi tuungane wote na kukemea, na kama CAG wa Kenya amesema pesa zimepigwa basi ni jambo la kipuuzi kujifanya unajua mambo eti mfichie mwafrika vitu kwa kitabu wakati pesa zinapigwa.
Mwisho wa siku sisi raia tutaendelea kushindana kwa mikelele isiyo na faida huku nchi zetu zikididimia...
Tujifunze kwa mfano wa UAE na Nigeria, wote wana mafuta, ila tu kwa kuwa kuna wapuuzi wanaringa wao ni giant basi linchi lao limejaa rushwa na umaskini uliopitiliza..Nchi kuwa na uchumu haimaanishi raia wa kawaida kama mimi kuwa na uchumi mkubwa.