Tetesi: CAG was Kenya Aibuka na mapya - Ksh 725 Billioni zilitumika nje ya mfumo wa uhasibu (IFMIS)

Dar is slum contains 6 million slum dwellers. Ask your government the same question.

Kenyans, who you claim have no jobs, earn an average of $1,857 per year. Tanzanians, who you say have jobs earn a measly $1,134.. very LDC income.

We are not celebrating our GDP. It is still very small compared to our ambitions. We are only celebrating that it is double Tanzania's GDP.
How can some one get paid while is jobless?, don't run away from the truth, Kenya unemployment rate is 48%, while Tanzania is 22%.
 
Ajabu ni kwamba inapozidi kupanuka watu wanakufa na njaa, kumbe kuna 720 B, zimepelekwa kusikojulikana na bila CAG tusingejua.

Cha kushangaza ni kwamba consumption ya chakula (calories) Kenya imeizidi Tanzania.
Tunakula nyama mingi, mahindi mengi, mchele nk.
In short, 92% of Tanzanians are malnourished or underfed.

Watu watatu kufa njaa kwenye nchi ya watu milioni 50 haibadilishi hujuma inayofanyika Tanzania.
 
Dar is slum contains 6 million slum dwellers. Ask your government the same question.

Kenyans, who you claim have no jobs, earn an average of $1,857 per year. Tanzanians, who you say have jobs earn a measly $1,134.. very LDC income.

We are not celebrating our GDP. It is still very small compared to our ambitions. We are only celebrating that it is double Tanzania's GDP.
$1857 is a hand to mouth income nothing to brag abt, tena unga ukipanda bei hufurukuti
 
The auditor general was told. In fact, he breaks down where the money went on that report. (you're too lazy to read).
His only question is why disbursing the money did not go through the IFMIS platform.
Then why Kenya is ranked position 144 on corruption if you think everything is OK?
 
Cha kushangaza ni kwamba consumption ya chakula (calories) Kenya imeizidi Tanzania.
Tunakula nyama mingi, mahindi mengi, mchele nk.
In short, 92% of Tanzanians are malnourished or underfed.

Watu watatu kufa njaa kwenye nchi ya watu milioni 50 haibadilishi hujuma inayofanyika Tanzania.
Mnajua hata mchele unafananaje nyie?kwenu makande ndio chakula mnakula vyakula vya kuku unasema ati calories
 
Na hapa pia watu wamekula sasa hvi sony sugar inapumulia mipira ya mikojoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

Another company which the government has no business owning. Should have been privatized years ago.
 
How can some one get paid while is jobless?, don't run away from the truth, Kenya unemployment rate is 48%, while Tanzania is 22%.

Kenya hatujumishi wauza njugu kwa data yetu, kama Tanzania.
Many Kenyans are self employed informally.
 
You have flyovers but people still die of hunger, cholera outbreaks in Nairobi, slums and unemployment are raising daily.

All men must die.
They die differently in different countries.
In the developed US, they are battling measles outbreaks.
 
Cha kushangaza ni kwamba consumption ya chakula (calories) Kenya imeizidi Tanzania.
Tunakula nyama mingi, mahindi mengi, mchele nk.
In short, 92% of Tanzanians are malnourished or underfed.

Watu watatu kufa njaa kwenye nchi ya watu milioni 50 haibadilishi hujuma inayofanyika Tanzania.
Hahahahaha, Tanzania people are malnourished but alive, Kenya people eat more food but are dying left and right.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† maskini ya Mungu japan wanawaza kwenda mars nyinyi kuwalisha watu wa turakana hamuwezi watu wanakufa kama kuku

Ndoto ya alinacha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unaongea kama watu wa Turkana walizaliwa walishwe bure.
Chakula ni kingi Kenya. Hakuna aliye na pesa ambaye amekosa chakula cha kununua.

Kujenga barabara Kenya kunafungua maeneo kama haya ili yawe sustainable. Waweze kujitafutia, sio kupewa vya bure kila mwaka.
 
Ahahaha so watu wa north korea ni masokwe????πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚ kwani nani hajengi barabara ??? Ukubwa wa tanzania ni mara mbili ya kenya na maeneo mengi yanafkikia kwa lami wewe unaongea nn
 
Back
Top Bottom