Tetesi: CAG was Kenya Aibuka na mapya - Ksh 725 Billioni zilitumika nje ya mfumo wa uhasibu (IFMIS)

Tetesi: CAG was Kenya Aibuka na mapya - Ksh 725 Billioni zilitumika nje ya mfumo wa uhasibu (IFMIS)

Usiniquote upumbavu,hii mada umeona imeongelea habari ya CAG wa TZ na ukaniona natetea!we jamaa umevurugwa nini,angalia tupo jukwaa gani ndio uanze kuleta uzwazwa wako wa kuhisi makabila ya watu!
Kwahiyo ndio maana wasukuma mnatetea serikali hii na ujinga unaoendelea
 
With your small debt to GDP ratio, you are seeing your first flyover in 2018.
Kenyans need roads and infrastructure, not silly figures to come brag on Jamii forums.
So flyover ndio inaondoa njaa north kenya???😆😆😆😆 au flyover ndio inapumguza unemployment rate in kenya????

Mkiguswa kwenye maswala muhimu munakimbilia flyover😂😂😂😂
 
So from you above assertion one can make a hypothesis.
Ho: Mass killing of people makes the GDP to (sharply) rise.
H1: The GDP of Kenya rise because of PEV.

That's what you concluded from the statement? Are you retarded?
If you used your head, you should have made this conclusion.
Tanzania is bongolala. It is the most 'stable' country in the region, but the worst performer economically.
 
And Japan is 200%. Your point?
So japan unafananisha na kenya😂😂😂 ujinga mlionao nyie ni kujipima mizani moja na watu waliowaacha miaka 300 kwenye kila kitu

Japan uchumi wake hata wawe na deni 300% huwez sikia nchi inayumba u know y???
 
Then the Auditor Gen should have been told about the whereabouts of the 720 B.
Could have saved a lot of time and money .
Who is CAG?
The auditor general in Kenya is the one who analyzes. So, he is the only one with the information to report.
So who did you want to report before the auditor general?
 
So GDP just for celebrating but no for improving lives of people?, why Kenya can't feed its people, why can't create jobs for its growing population, why can't provide safe water even for Nairobi which it is attacked by cholera outbreak yearly?, why can't build houses for millions of slum dwellers, GDP ya makaratasi hiyooooooooooooo.

Dar is slum contains 6 million slum dwellers. Ask your government the same question.

Kenyans, who you claim have no jobs, earn an average of $1,857 per year. Tanzanians, who you say have jobs earn a measly $1,134.. very LDC income.

We are not celebrating our GDP. It is still very small compared to our ambitions. We are only celebrating that it is double Tanzania's GDP.
 
720b ksh watu wamepiga kilaini pesa amabyo ilikua inatosha kujenga Hio SGR yenu kutoka mombasa mpaka kisumu😂😂😂😂😂
 
Then the Auditor Gen should have been told about the whereabouts of the 720 B.
Could have saved a lot of time and money .

The auditor general was told. In fact, he breaks down where the money went on that report. (you're too lazy to read).
His only question is why disbursing the money did not go through the IFMIS platform.
 
Dar is slum contains 6 million slum dwellers. Ask your government the same question.

Kenyans, who you claim have no jobs, earn an average of $1,857 per year. Tanzanians, who you say have jobs earn a measly $1,134.. very LDC income.

We are not celebrating our GDP. It is still very small compared to our ambitions. We are only celebrating that it is double Tanzania's GDP.
Siku ukipata neno slum kwa dar kwenye google earth nitag

Ona hiiii😆😆😆😆👇👇👇👇
CCE4B38B-B313-4655-BF95-B05E2EFE7A38.png
 
So japan unafananisha na kenya😂😂😂 ujinga mlionao nyie ni kujipima mizani moja na watu waliowaacha miaka 300 kwenye kila kitu

Japan uchumi wake hata wawe na deni 300% huwez sikia nchi inayumba u know y???

Yeah. We only compare ourselves with the best. And take notes from the best.
Unataka tubaki umaskinini na Tanzania, ili tupate sifa kwamba debt to gdp ratio iko chini?
Debt to gdp ratio itabaki chini pamoja na maendeleo yenu.
 
So flyover ndio inaondoa njaa north kenya???😆😆😆😆 au flyover ndio inapumguza unemployment rate in kenya????

Mkiguswa kwenye maswala muhimu munakimbilia flyover😂😂😂😂

Yep. Lakini unahitaji masomo na iq ya juu ili uelewe vile infrastructure hukuza uchumi.
 
Yeah. We only compare ourselves with the best. And take notes from the best.
Unataka tubaki umaskinini na Tanzania, ili tupate sifa kwamba debt to gdp ratio iko chini?
Debt to gdp ratio itabaki chini pamoja na maendeleo yenu.
😆😆😆😆😆 maskini ya Mungu japan wanawaza kwenda mars nyinyi kuwalisha watu wa turakana hamuwezi watu wanakufa kama kuku

Ndoto ya alinacha 😂😂😂
 
With your small debt to GDP ratio, you are seeing your first flyover in 2018.
Kenyans need roads and infrastructure, not silly figures to come brag on Jamii forums.
You have flyovers but people still die of hunger, cholera outbreaks in Nairobi, slums and unemployment are raising daily.
 
1 million people died in Rwanda. Leo hii Rwanda karibu wafikie Tanzania GDP.
2000 people died in Kenya. Leo hii, GDP ya Kenya karibu ichape ya Tanzania double.
Ethiopia imeishi na vita na majirani wake, leo hii GDP yake times two ya Tanzania.

Anyone with a functioning brain will wonder, what is wrong with peaceful, 'uncorrupt' Tanzania?
We jamaa huna akili period
 
Back
Top Bottom