ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
ππππππππππThey also don't eat albinos.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππππThey also don't eat albinos.
Wasukuma mmeuvaa uzalendo sana awamu hii.. Si zile Trillions zisizoonekana mnakula woteUsiniquote upumbavu,hii mada umeona imeongelea habari ya CAG wa TZ na ukaniona natetea!we jamaa umevurugwa nini,angalia tupo jukwaa gani ndio uanze kuleta uzwazwa wako wa kuhisi makabila ya watu!
Uchumi unakuwa kwa 7 lakini pengo la ajira linaongezeka, biashara zinafungwa kila kukicha, mikopo bank hairejesheki, wafanyabiashara tusiotaka kufilisiwa tuna top up kila mwaka angalau ifike 2025 huu upuuzi uondoke..Wewe unakubali utakua kwa 4%?, vipi wewe uwe na haki ya kuamini unachokiamini lakini wengine wasiwe na haki ya kuamini wanachokiamini?
Pengo la ajira, hili hata mwanao ukimuuliza anajua sababu, unajua kuna wahitimu wangapi kila mwaka, wanaendana na kiwango cha uhitaji mtaani!!!Uchumi unakuwa kwa 7 lakini pengo la ajira linaongezeka, biashara zinafungwa kila kukicha, mikopo bank hairejesheki, wafanyabiashara tusiotaka kufilisiwa tuna top up kila mwaka angalau ifike 2025 huu upuuzi uondoke..
naona leo umepata kiboko yako...yani mtu wa nyumbani anakuchakaza hku umebaki kutema povu...Pengo la ajira, hili hata mwanao ukimuuliza anajua sababu, unajua kuna wahitimu wangapi kila mwaka, wanaendana na kiwango cha uhitaji mtaani!!!
Biashara kufungwa ni kawaida labda kama umezaliwa jana.
Kama una uwezo wa kurejesha mkopo mpaka unapata sifa ya kutop up, funga mdomo wako, vinginevyo unawakosea wenye hali ngumu kweli.
Ukweli wa wapi hawezi kuwa kiboko yangu huyu kilaza tu kama wewe.naona leo umepata kiboko yako...yani mtu wa nyumbani anakuchakaza hku umebaki kutema povu...
braza...mpe ukwel...awache kutulisha matango pori hapa jf...
Tafadhali sana unapozungumza na watu wazima, tumia credible statistics acha kutumia mawazo ya mtaani, tunaomba ulete data za angalau miaka minne nyuma kuthibitisha unayoyasema. Sio kweli unayosema, ajira zimeongezeka sana ukilinganisha na utawala uliopita.Uchumi unakuwa kwa 7 lakini pengo la ajira linaongezeka, biashara zinafungwa kila kukicha, mikopo bank hairejesheki, wafanyabiashara tusiotaka kufilisiwa tuna top up kila mwaka angalau ifike 2025 huu upuuzi uondoke..
ππππππππππ
NonesenseTofauti ni kwamba unapoongoza, ujinga wako ni kidogo.
Nonesense