Calisah "amvua nguo" mrembo, amchana kweupe

Calisah "amvua nguo" mrembo, amchana kweupe

Hamna mwanaume anayesimamisha au ambaye ana mwanamke au rijali atafanya alichofanya so called Calisa

Huyu Calisa lazima atakuwa mcameroon ….time will tell

Hapo hakuna mwanaume kabisa…huyu ni mwanamke amemjibu mwanamke mwenzie
 
Ofcourse huyu jamaa kazingua japo sio mwana upinde ila kazingua.
 
Baada ya mrembo Shakila kutoka Kenya kusema kwamba kuanzia sasa na kuendelea eti atakuwa anatoza dollar 50 ambazo ni zaidi ya laki moja ya kitanzania ili akujibu tu meseji yako uliyo M DM

Sasa bhana Calisah akaja chaaap kumuumbua 🤣🤣🤣kumbe bwana huyo demu anajifanya staa kumbe naye wale wale wanashinda dm za watu kujibebisha bebisha

Kusema tu ule ukweli wa Mungu nimefurahi sana kwa alichokifanya Calisah maana huyu binti alizua taaruki huko insta

Na yeye sasa Calisah anasema kuanzia sasa atakuwa anatoza dollar zisizopungua 150 ambazo ni sawa na laki 3 na nusu za kitanzania ili aweze kumjibu mrembo atakaye m DM maana amechoka usumbufu kutoka kwa mademu haswaa mastaa.

Sasa takataka kama hio ndo nipoteze muda kuitext. Bora angesema hatumi nudes au kufanya cam show chini ya hio bei.

Yaan kuna wanawake wanajipaga thamani bila kujua wako worthless
 
Sasa takataka kama hio ndo nipoteze muda kuitext. Bora angesema hatumi nudes au kufanya cam show chini ya hio bei.

Yaan kuna wanawake wanajipaga thamani bila kujua wako worthless
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom