Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Baada ya mrembo Shakila kutoka Kenya kusema kwamba kuanzia sasa na kuendelea eti atakuwa anatoza dollar 50 ambazo ni zaidi ya laki moja ya kitanzania ili akujibu tu meseji yako uliyo M DM.
Sasa bhana Calisah akaja chaaap kumuumbua 🤣🤣🤣kumbe bwana huyo demu anajifanya staa kumbe naye wale wale wanashinda dm za watu kujibebisha bebisha.
Kusema tu ule ukweli wa Mungu nimefurahi sana kwa alichokifanya Calisah maana huyu binti alizua taaruki huko insta.
Na yeye sasa Calisah anasema kuanzia sasa atakuwa anatoza dollar zisizopungua 150 ambazo ni sawa na laki 3 na nusu za kitanzania ili aweze kumjibu mrembo atakaye m DM maana amechoka usumbufu kutoka kwa mademu haswaa mastaa.