Calisah ashikiliwa na polisi kwa kuvujisha picha za utupu za Wema Sepetu

Genye hizi.unapigaje picha za utupu wakati huna bondi ya kudumu na unayepiga naye ?
 
Polisi nao huo mda wangeutumia Kumshauri Wema Aache utoto! Kazi kutembea na haya ndo matundaaa yakee hivii kweli Wema heshima kubwa alio Nayo ndo ya kutembea na vitoto vidogooo hivyooo kweli???

Wema ana Pepo gani jamanii akisimama utasemaa wa maanaaaa!!!! Kumbeee heshima yake imeshuka sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…