Calisah ashikiliwa na polisi kwa kuvujisha picha za utupu za Wema Sepetu

Calisah ashikiliwa na polisi kwa kuvujisha picha za utupu za Wema Sepetu

Polisi nao huo mda wangeutumia Kumshauri Wema Aache utoto! Kazi kutembea na haya ndo matundaaa yakee hivii kweli Wema heshima kubwa alio Nayo ndo ya kutembea na vitoto vidogooo hivyooo kweli???

Wema ana Pepo gani jamanii akisimama utasemaa wa maanaaaa!!!! Kumbeee heshima yake imeshuka sanaaaaa
 
Back
Top Bottom