Duh Wakuu naomba tulitendee Haki Jukwaa letu la Intelligence....
Kwanza naomba tujiulize kwanini watu wana miguu miwili na sio mitatu au minne au kuwa na macho sita ?
Tutagundua kwamba kuna formula kwenye Nucleus ya Kila Cell inayoiambia cell ijigawe vipi na ifanye nini kwahio ndio maana tunapata cell tofauti zenye kazi tofauti na ndio maana binadamu yupo jinsi alivyo..., kwahio kuna uwezekano wa hio formula ikibadilika DNA na kiumbe kitakachozaliwa kitabadilika....
Mfano mzuri ni huu hapa wanasayansi waliweza kubadilisha genes kwenye mbuzi na kuongeza genes za spider ili maziwa anayotoa mbuzi yanakuwa na protein zaidi inayoweza kutengeneza silk
BBC News - The goats with spider genes and silk in their milk
Kwahio kama watu tukiona hawa mbuzi ndio wanafaa zaidi tunaweza tukakuta years from now mbuzi wote wanaofugwa wakawa hivi..
Kwahio mtu kabla ya yote inabidi usome kuhusu DNA na kufahamu kwamba hizi ndio building Blocks na ukibadilisha hizi builiding blocks (either artificially, au kwa mutation au ikitokea sababu moja au nyingine) basi kiumbe kitakachotokea mwisho kitakuwa tofauti kabisa...
What is DNA?
Pia issue ya uwezekano wa unicellular kubadilika kuwa multicellular kuna experiment ilifanywa kwa kuweka algae katika conditions tofauti na within 60 days ikapatikana multicellular from unicellular
Multicellular Life Evolves in Laboratory | Science | WIRED (Kumbuka mpaka hii ilivyotokea ni kwamba walicreate artificial environment ambayo kwa kawaida huwa haitokei) ikionyesha kwamba mpaka kitu kibadilike ni mpaka environment ibadilike kama alivyosema
housegirl
Kwahio wakuu Genes ndio building blocks ndio maana tunapata hata genetic modified foods ikionyesha kwamba hizi genes zinaweza kubadilika iwe arficially au vinginevyo..
Na kusema kwamba bacterias kuwa resisitant kwa madawa ni acclamatization.., jiulize ni vipi wana-acclamatize je ni kwa kujenga/kupata traits ambazo zilikuwa hazipo mwanzo ?, na kama ndivyo basi hio ndio evolution yenyewe hio ukizingatia changes hizi zinahamishiwa kizazi mpaka kizazi