Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Ukiingia kwenye room kama ni mchana ,shusha mapazia chumba kiwe giza ,kisha washa camera ya simu zungusha chumba kizima ,ukiona kwenye camera kuna red basi jua ni hidden cctv camera hiyo.Tumegundua uwepo wa camera iliyofichwa kwa siri kwenye bafu la nyumba ambayo tumefikia. Mwenye nyumba anasema si yeye aliyeweka π, kama ni kweli basi kuna uwezekano kwamba mgeni mwingine aliyepangisha hii nyumba siku za nyuma ndiyo amefanya hivyo.
Kwa wamiliki wa Airbnb, tafadhali fanya camera sweep (ukaguzi wa kina) kila baada ya mgeni kuondoka ili kuepusha matatizo kwako na kwa wageni watakaotumia nyumba yako.
Hizi tabia za perverts kuacha camera na vifaa vya kuwarekodi wengine bila idhini yao hasa kwenye sehemu kama bafuni na vyumba vya kulala zimeanza kushamiri.
View attachment 3614523
Ukiwa mgeni hotelini au kwenye airbnb, hakikisha unakagua mahali ulipofikia ili usije ukakuta mambo yako ya sirini yamewekwa live mitandaoni au sehemu nyingine zisizostahili.
Ni tahadhari tu, kila mtu awe makini.
Asubuhi njema!
π π π ushakuwa porn star ghafla......pole btwAcha tu mdogo wangu π©
View attachment 3614525
Asanten sana mkuu, ila kwenye vyumba kama bafuni wanaficha kwenye shower heads πΏ, ngumu sana kuona πUkiingia kwenye room kama ni mchana ,shusha mapazia chumba kiwe giza ,kisha washa camera zungusha chumba kizima ,ukiona kwenye camera kuna red basi jua ni camera.
Kama wanafanya huo uhuni ni kuwashitaki tu.Asanten sana mkuu, ila kwenye vyumba kama bafuni wanaficha kwenye shower heads πΏ, ngumu sana kuona π
Khaaaa hatariii kubwa hii. Unajikuta umekuwa porn star ghafla.
Daah, unaweza ukajikuta umewapa CHAPUTA ya akina secretarybird material ya kupigia nyeto bila hata kujijua π΅βπ«π π π ushakuwa porn star ghafla......pole btw
Nyie vijana mnatukosea sana, connection ya mimi mzee hivi uifanyie nini ππSo tusubiri connection?
Inawezekana, acha tuone itakuwaje na hawa polisi watatuambia nini!Niliisikia hii kitambo, aisee Peverts wana mbinu sana, au ni blackmailing?
Unawapatia uzoefuNyie vijana mnatukosea sana, connection ya mimi mzee hivi uifanyie nini ππ
Hahahahamlikua mmesha naniliiπ’π€
Waliona mtu anajipaka mafuta mapajani.