Camera za siri kwenye airbnb na kurekodiwa bila idhini yako

Camera za siri kwenye airbnb na kurekodiwa bila idhini yako

Waliona mtu anajipaka mafuta mapajani.
NB:Nimehisi tu.Sikuwepo.
Aiseeh, kweli nimeonekana 😮

Fanning Self Getting Hot GIF by ALLBLK.gif
 
Tumegundua uwepo wa camera iliyofichwa kwa siri kwenye bafu la nyumba ambayo tumefikia. Mwenye nyumba anasema si yeye aliyeweka 😔, kama ni kweli basi kuna uwezekano kwamba mgeni mwingine aliyepangisha hii nyumba siku za nyuma ndiyo amefanya hivyo.

Kwa wamiliki wa Airbnb, tafadhali fanya camera sweep (ukaguzi wa kina) kila baada ya mgeni kuondoka ili kuepusha matatizo kwako na kwa wageni watakaotumia nyumba yako.

Hizi tabia za perverts kuacha camera na vifaa vya kuwarekodi wengine bila idhini yao hasa kwenye sehemu kama bafuni na vyumba vya kulala zimeanza kushamiri.

View attachment 3614523

Ukiwa mgeni hotelini au kwenye airbnb, hakikisha unakagua mahali ulipofikia ili usije ukakuta mambo yako ya sirini yamewekwa live mitandaoni au sehemu nyingine zisizostahili.

Ni tahadhari tu, kila mtu awe makini.

Asubuhi njema!
Ina storage kiasi gani hiyo?
Charge inatoa wapi?
Charge inadumu muda gani?
 
Back
Top Bottom