Siku nyingine kabla hujakigusa hicho kikamera hakikisha unatumia gloves/mifuko ya plastic/nguo ilo kuzuia direct contact baina yako na hicho kifaa, ili utumie ushahidi huo kupata fingerprints za muhusika maana Kuna upuuzi mkubwa unafanywa na wajinga wanaoacha chances/loopholes za kukamatika bila ya wao kujua.
Haya pesa ya bure ushaikosa hapo ungewafungulia mashitaka, wamiliki wa hiyo nyumba kwa kuingilia privacy zako, either kwa uzembe wao wa kushindwa kulinda mazingira salama ya mteja au wao wenyewe kuhusika moja kwa moja na uhuni huo.
Nadhani unajua kisheria kuna madai ya fidia kuwakomoa wahusika ambapo ni vigumu wao kuchomoka pale ushahidi unapopatikana.
Raia wengi kutoka ktk Shithole countries za kiafrika zisizoheshimu sheria wala katiba za nchi hufanya mambo ya kijinga na kuacha wigo/chances za wanaoijua sheria kuwashughulikia na kuwanyoosha.
Huu upuuzi kwa nchi zinazojielewa mpaka sasa hii ingekuwa headline ktk vyombo vya habari/online medias huku wahusika wakijaribu kuficha ushahidi kwa kukuhonga mamilioni ya pesa ili kukufunga mdomo, wakati huo mashitaka na fidia za mabilioni ya pesa zikiwasubiri mahakamani.
TUSOME JAMANI.