Camera za siri kwenye airbnb na kurekodiwa bila idhini yako

Mleta MADA uko vzr ,nilichojifunza ulikagua kwanza angle zote kabla ya kuanza .....
Nick Offerman Smile GIF (1).gif
 
Anajua huyo kichaoendelea ,anahusika kwa 100%....Sasa mtu baki afunge hidden camera kwa manufaa gani wakati nyumba si yake?
Anasema wageni walioondoka ndiyo wamefanya hivyo 😩 😩

Polisi watatuambia kama hiyo camera ilikua connected na WiFi, na kama ni hivyo then inawezekana mtu mwingine ambaye si mmiliki wa nyumba akawa ameiweka hapo na ana-upoload hizo recordings directly kwenye cloud server popote duniani.
 
Je nikiweka tangazo mapema ""This apartment has been installed camera for security""hapa vipi yaani taarifa mapema,but not at washroom!..
Airbnb hawaruhusu camera wala kifaa chochote cha kurekodia ndani ya nyumba, ikijulikana umeweka unafutiwa account au kulimwa ban ya maisha.

Unaweza kuweka camera nje ya nyumba kwa ajili ya ulinzi, ila ndani HAPANA!

Na pia watu wengi hawako comfortable kukaa ndani ya nyumba ambayo unarekodiwa kila unachofanya, kila wakati na huna privacy.
 
Anasema wageni walioondoka ndiyo wamefanya hivyo [emoji30] [emoji30]

Polisi watatuambia kama hiyo camera ilikua connected na WiFi, na kama ni hivyo then inawezekana mtu mwingine ambaye si mmiliki wa nyumba akawa ameiweka hapo na ana-upoload hizo recordings directly kwenye cloud server popote duniani.
Toka mwanzo alivyokwambia mtu kaweka ungemuukiza alitoka lini si inatumia betri yani haishi chaji ?
 
Airbnb hawaruhusu camera wala kifaa chochote cha kurekodia ndani ya nyumba, ikijulikana umeweka then unafutiwa account au kulimwa ban ya maisha.

Unaweza kuweka camera nje ya nyumba kwa ajili ya ulinzi, ila ndani HAPANA!

Na pia watu wengi hawako comfortable kukaa ndani ya nyumba ambayo unarekodiwa kila unachofanya, kila wakati na huna privacy.
Ni kweli kabisa
 
Tumegundua uwepo wa camera iliyofichwa kwa siri kwenye bafu la nyumba ambayo tumefikia. Mwenye nyumba anasema si yeye aliyeweka 😔, kama ni kweli basi kuna uwezekano kwamba mgeni mwingine aliyepangisha hii nyumba siku za nyuma ndiyo amefanya hivyo.

Kwa wamiliki wa Airbnb, tafadhali fanya camera sweep (ukaguzi wa kina) kila baada ya mgeni kuondoka ili kuepusha matatizo kwako na kwa wageni watakaotumia nyumba yako.

Hizi tabia za perverts kuacha camera na vifaa vya kuwarekodi wengine bila idhini yao hasa kwenye sehemu kama bafuni na vyumba vya kulala zimeanza kushamiri.

View attachment 3614523

Ukiwa mgeni hotelini au kwenye airbnb, hakikisha unakagua mahali ulipofikia ili usije ukakuta mambo yako ya sirini yamewekwa live mitandaoni au sehemu nyingine zisizostahili.

Ni tahadhari tu, kila mtu awe makini.

Asubuhi njema!
Camera nyingine wanaweka wafanyakazi baada ya kutumwa na mabwana zao.
 
Kama haufanyi vitu vya kijinga camera hautakiwi kuiogopa
 
Back
Top Bottom