Camera za siri kwenye airbnb na kurekodiwa bila idhini yako

Tumegundua uwepo wa camera iliyofichwa kwa siri kwenye bafu la nyumba ambayo tumefikia. Mwenye nyumba anasema si yeye aliyeweka 😔, kama ni kweli basi kuna uwezekano kwamba mgeni mwingine aliyepangisha hii nyumba siku za nyuma ndiyo amefanya hivyo.

Kwa wamiliki wa Airbnb, tafadhali fanya camera sweep (ukaguzi wa kina) kila baada ya mgeni kuondoka ili kuepusha matatizo kwako na kwa wageni watakaotumia nyumba yako.

Hizi tabia za perverts kuacha camera na vifaa vya kuwarekodi wengine bila idhini yao hasa kwenye sehemu kama bafuni na vyumba vya kulala zimeanza kushamiri.

View attachment 3614523

Ukiwa mgeni hotelini au kwenye airbnb, hakikisha unakagua mahali ulipofikia ili usije ukakuta mambo yako ya sirini yamewekwa live mitandaoni au sehemu nyingine zisizostahili.

Ni tahadhari tu, kila mtu awe makini.

Asubuhi njema!
Je nikiweka tangazo mapema ""This apartment has been installed camera for security""hapa vipi yaani taarifa mapema,but not at washroom!..
 
Tumegundua uwepo wa camera iliyofichwa kwa siri kwenye bafu la nyumba ambayo tumefikia. Mwenye nyumba anasema si yeye aliyeweka 😔, kama ni kweli basi kuna uwezekano kwamba mgeni mwingine aliyepangisha hii nyumba siku za nyuma ndiyo amefanya hivyo.

Kwa wamiliki wa Airbnb, tafadhali fanya camera sweep (ukaguzi wa kina) kila baada ya mgeni kuondoka ili kuepusha matatizo kwako na kwa wageni watakaotumia nyumba yako.

Hizi tabia za perverts kuacha camera na vifaa vya kuwarekodi wengine bila idhini yao hasa kwenye sehemu kama bafuni na vyumba vya kulala zimeanza kushamiri.

View attachment 3614523

Ukiwa mgeni hotelini au kwenye airbnb, hakikisha unakagua mahali ulipofikia ili usije ukakuta mambo yako ya sirini yamewekwa live mitandaoni au sehemu nyingine zisizostahili.

Ni tahadhari tu, kila mtu awe makini.

Asubuhi njema!
Ni wapi huko
 
Hii comment yako inachekesha alafu inahuzunisha 🤣🤣🤣😥😥
Real Housewives Of Atlanta Crying GIF by PeacockTV.gif

Usikute ulinyolea huko kitumbua
🤣 hebu niache, usizidi kunivuruga!
 
Tumegundua uwepo wa camera iliyofichwa kwa siri kwenye bafu la nyumba ambayo tumefikia. Mwenye nyumba anasema si yeye aliyeweka 😔, kama ni kweli basi kuna uwezekano kwamba mgeni mwingine aliyepangisha hii nyumba siku za nyuma ndiyo amefanya hivyo.

Kwa wamiliki wa Airbnb, tafadhali fanya camera sweep (ukaguzi wa kina) kila baada ya mgeni kuondoka ili kuepusha matatizo kwako na kwa wageni watakaotumia nyumba yako.

Hizi tabia za perverts kuacha camera na vifaa vya kuwarekodi wengine bila idhini yao hasa kwenye sehemu kama bafuni na vyumba vya kulala zimeanza kushamiri.

View attachment 3614523

Ukiwa mgeni hotelini au kwenye airbnb, hakikisha unakagua mahali ulipofikia ili usije ukakuta mambo yako ya sirini yamewekwa live mitandaoni au sehemu nyingine zisizostahili.

Ni tahadhari tu, kila mtu awe makini.

Asubuhi njema!
.............Teknolojia imekuwa sana.

Unashangaa video zako ukinyoa zimavu zinasambaa mitandaoni.
 
Pole sana Binti wa zamani kwa changamoto hii kubwa na ya kutisha! Kweli ni jambo linaloumiza na kukera sana kugundua uvamizi wa faragha namna hii, hasa kwenye sehemu unayotarajia kuwa salama na yenye amani. Umeongea ukweli mtupu, hakuna anayestahili kuvamiwa faragha yake namna hii. Ni jambo la kutisha sana.

Hongera kwa ujasiri wako wa kulileta hapa ili wengine wajifunze na kuchukua tahadhari. Ushauri wako kwa wamiliki wa Airbnb kufanya ukaguzi wa kina ni muhimu mno, na pia kwa wageni kuwa makini. Ncha aliyoitoa hearly ya kutumia kamera ya simu ni nzuri sana na inaweza kusaidia wengi. Ni muhimu sana kuripoti matukio kama haya kwa mamlaka husika na pia kwa Airbnb wenyewe ili hatua kali zichukuliwe dhidi ya tabia hizi mbaya.

Natumai mko salama na mtaendelea kuwa makini. Usiruhusu tukio hili likukatishe tamaa na kukufanya uogope kusafiri, ila liwe fundisho la kuongeza umakini. Kuwa strong na ujue wengi tunakuunga mkono!
 
Pole sana Binti wa zamani kwa tukio hili la kutisha na la kusikitisha sana! Hakika ni jambo linaloumiza na kukera mno kugundua uvamizi wa faragha namna hiyo, hasa kwenye sehemu unayotarajia kuwa salama na yenye amani. Ninaelewa kabisa jinsi unavyojisikia, ni hisia ngumu sana kujua faragha yako imevunjwa kiasi hicho.

Ushauri wako kwa wamiliki wa Airbnb na wageni ni wa muhimu sana na unapaswa kuzingatiwa na kila mmoja. Ni muhimu sana kila mtu awe makini na kuchukua tahadhari kama ulivyosema.

Asante kwa kuwa jasiri na kushare uzoefu wako huu ili kuwafanya wengine wawe macho. Tunakuombea amani na utulivu baada ya tukio hili. Hakika, faragha ni haki ya msingi na inapaswa kuheshimiwa.
 
Back
Top Bottom