Cameron: Lazima shughuli za Iran zinazotishia utulivu wa dunia zidhibitiwe

Wa withdraw au wakimbie
Kwani baada ya kufukuzwa mwaka 1948 kwenye ardhi zao waliishi wapi
Hamas kamatieni hapo hapo maana kelele za kuwith draw zishaanza huku. Kwa wazayuni wa jf
Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
Israhell na wazayuni wa jf vita mliishashindwa kabla hamujaianza mbona yaani mulishindwa muda sanaaa
basi tuseme, hata wakikimbia, wapalestina watarudi kuishi wapi? kwenye kokoto? kuna miili mingi sana imekaliwa na vifusi, wana kazi kubwa sana kusafisha.
 
Yaani kwa hizi kauli za netanyhau na hii pressure.
Nakumbuka INSIDER MAN alishasema hii propaganda wanayotumia israel kuikalia gaza.Yaani ukifikiri nini kinachopelekea gaza kuwa vile kuna assumptioun za kubuy time ili target yao iingie.

Iran iwe imara, huu mtego.
 
Huyo Israel si inasemekana anamiliki vichwa 300 vya nyuklia sasa siku akivurugwa hapo mashariki ya kati patachafuka
Hii Dunia hii.

Wewe ukijua hili wenzio wanajua lile.

Washamwambia hizo nuclear zake,Kuna siku ambayo hawajui muda Wala mwaka kama wanavyomsubiri mwokozi,watadondosha kombora juu ya hizo siraha zimlipukie humo humo Israel 🤣
 
Ukigomba na kichaa utaishia kushusha adhi yako wakati ulikuwa na heshima mbele ya jamii hivi unavyowazwa Iran aweza mchapa USA? Mtoto akiwa anajifunza rusha ngumi wakati mwingine anguka afurahi umeanguka. Iran ni sekunde tu hakuna Taifa .
Ndio atapigani ardhi ipi huu sio wakati kwa nchi za kiarabu kuwa Bega wa kupandia kwa USA. akitumia career ni ndo hatari zaidi kwako , sion nchi ya kuwa base ya USA kwa sasa
 
Yaani kwa hizi kauli za netanyhau na hii pressure.
Nakumbuka INSIDER MAN alishasema hii propaganda wanayotumia israel kuikalia gaza.Yaani ukifikiri nini kinachopelekea gaza kuwa vile kuna assumptioun za kubuy time ili target yao iingie.

Iran iwe imara, huu mtego.
[emoji1787][emoji3][emoji1787]
Endeleeni kujidanganya iran mara kadhaa imesema
Hata an zishaanza vita dhidi ya yeyote yule awaye
Ila siku ardhi yake itakapo guswa hata na jiwe kutoka nje atatoa jibu ambalo mchokozi atalikumbuka daima
Pambaneni na hamas kwanza Iran [emoji1130] maji marefu sanaaa
 
Mkuu bwana utam,

Wewe ulishakuwa na chuki sana mpaka unakosa uwezo wa kujadili.

Neno pambaneni na hamas, endeleeni kujifajiri ni maneno ambayo tayari ulishamuweka mtu kwenye upande. Mtu yeyote atayekwenda tofauti na wewe basi tayari unamuweka upande.

Palikuwa hapana haja sentensi zako kuwa biased, unapoteza credibility.

Mimi huwa sina sehemu nimeegemea.

Huwa mara nyingi nakurekebisha lakini unasahau.
soma tena reply yangu.
Umenielewa mkuu?
 
Mie kua na upande wala halina ubishi mbona nipo upande wa hamas
Ila uzuri nikwamba hua nasema ukweli hata kama utakua mchungu kwangu au kwenu
Sio kama kisa nna upande ndio niwe sisemi ukweli
Kuhusu upande nipo upande wa hamas kama ulikua hujui ujue hili kuanzia leo
Nawewe kutokua na sehem labda uanze jana na leo ila kwenye huu mgogoro ulikua na bado upo upande wa mazayuni labda utoke sasa hv na ingawaje sio rahisi
. Au ulitaka kusemaje MKUU
 
Is it. Compulsory to drag anaother person into foe side?

Kuwa kwako hamas kunahusiana nini na mimi?

Mbona unaongea nisichosema mkuu?

Unajua kusoma kwa ufahamu lakini?
 
Najua kufahamu na kuelewa mkuu nanimekuelewa sana
Kua upande wa hamas nilikupa tu angalizo ili usipate shaka na mrengo ninao egemea
Pia nilikwambia wazi kua kua kwangu upande hakunifanyi niegemee upande nlokua nao ikiwa tu mtu ataongea fact
Huwezi kusema ghaza imeharibiwa eti kisa nna upande nibishe huu utakua ujinga
Ulisema napoteza credibility kwakudhania mtu yuko upande fulani ila sio kukudhania humu michango tele ulikua unaegemea upande kama unavyoniona mie ingawaje leo unajikataa
Yote kwa yote kwenye huu mgogoro wa hamas haijalishi kinaendelea nn kama unapenda haki lazma uwe na upande tena wa hamas
Ila naomba nikuache kwanza mpaka baadae uwe na mda mwema mkuu
 
Utaniletea sehemu ambayo inaonyesha mimi nikisapoti israel au hamas.

Zaidi ya kuhoji Kwanini raia wafe namna hii na freedom fighters hawana nguvu ya kulinda raia wao.

Nitaomba uniletee sehemu yoyote ninayosapoti upande.

Na ukishindwa fanya hivyo ni dhahiri wewe utakuwa muongo.

Nitasubiri kuona hizo text nikifurahi mauaji wanayofanya israel au utekaji wa hamas.
Nitafurahi sana.
 
Kwakuwa wewe ni chombo Cha kutoa haki mpaka useme Kama unapenda haki lazima uwe upande wa hamas
 
Punguza jazba kidogo
Siku zote kumsapoti anaonewa ndio haki yenyewe
Ukiona una sapoti upande wa muonevu ujue sio mpenda haki na inatakiwa upigwe spana
 
Utaniletea sehemu ambayo inaonyesha mimi nikisapoti israel au hamas.

Zaidi ya kuhoji Kwanini raia wafe namna hii na freedom fighters hawana nguvu ya kulinda raia wao.

Nitaomba uniletee sehemu yoyote ninayosapoti upande.

Na ukishindwa fanya hivyo ni dhahiri wewe utakuwa muongo.

Nitasubiri kuona hizo text nikifurahi mauaji wanayofanya israel au utekaji wa hamas.
Nitafurahi sana.
Kama ntaweza zitafta MKUU
Ila siwezi kua muongo kijana
 
Punguza jazba kidogo
Siku zote kumsapoti anaonewa ndio haki yenyewe
Ukiona una sapoti upande wa muonevu ujue sio mpenda haki na inatakiwa upigwe spana
Basi Kama hiyo ndiyo tafsiri ya haki ni dhahiri hata wewe binafsi si muumini wa haki kama unavyojinasibu hapa
 
Hii Dunia hii.

Wewe ukijua hili wenzio wanajua lile.

Washamwambia hizo nuclear zake,Kuna siku ambayo hawajui muda Wala mwaka kama wanavyomsubiri mwokozi,watadondosha kombora juu ya hizo siraha zimlipukie humo humo Israel 🤣
Unisifanye nipaliwe na na pilau kwa kicheko hivi unafikiri hapo mashariki ya kati wanampenda huyo yahudi akae pale?
Jibu ni hapana
 
Waswahili tabu sana, mtu yuko Buza kwa Mama Kibonge na anashindia chai ya rangi na kitumbua kimoja halafu anajifanya kufahamu uwezo wa Iran kijeshi kuliko intelijensia zote za nchi za magharibi zinavyofahamu 😂😂😂

Swala la Iran limewekwa kiporo kwa sasa na litashughulikiwa kikamilifu mwaka 2025 ie baada ya uchaguzi wa Marekani kumalizika mwakani.

Mazingira yenye kuhalalisha Iran kushughulikiwa tayari yameshaandaliwa hivyo ni swala la muda tu na ratiba ndio sasa inaandaliwa na David Cameron hakuongea kwa bahati mbaya.

Iran ameandaliwa mtego bila ya yeye kufahamu na kajiingiza mzima mzima. Iran bado ipo katika harakati zake za kutafuta kufikia uwezo wa kumiliki silaha za nuklia japo kwa sasa inasemekana wamefikia 60% ya urutubishwaji ikiwa ni pungufu ya uwezo wa kutengeneza silaha za nuklia kwa 25%.

Inasemekana ili kufikia uwezo huo Iran inaweza ikahitaji miaka 5 au zaidi na ndio maana sasa inasemekana wakati wa kuiwahi Iran umefika na hakutakuwa na kizuizi zaidi.

They say, "strike while the iron is hot."
 
Siyo bure kuna uwezekano Iran atakuwa na silaha za nuclear na nchi za magharibi watakuwa wanajua kitu hicho, Iran ameshaweka siku za Israel zinahesabika, ataingamiza Tela Aviv, pia inasema iko tayari kupigana na USA, NATO kitu ambacho hata China, Rusia wanaogopa sana, Iran alishawahi kumzuia Angel Markel ili ndege yake isipite kwenye anga la Iran, Iran amewahi kupiga kambi za USA huko Iraq na USA hakufanya chochote, Iran anasapoti hezibolla, Houth na vikundi hivyo vina nguvu na huwezi kuvibeza, Iran amesema atalipua mkondo bahari wa Gilbblata ambao ni Shemu ya Hispania mshirika wa NATO endapo Meri za Israel zitapita eneo hilo, hiki kitu hata Rusia au China hawezi kuitangazia Dunia.
hatar sana kuna kubwa jinga moja naliona likidhalilishwa na Iran mda c mrefu
 
View attachment 2851723
ReutersCopyright: Reuters
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Cameron amesema kuwa nchi yake haitavumilia shughuli za Iran, ambazo alizitaja kuwa za "uovu" katika nchi yake na Mashariki ya Kati.
Cameron alithibitisha katika mahojiano na gazeti la Uingereza la "The Sunday Telegraph" lililochapishwa Jumapili kwamba Uingereza itaimarisha ushirikiano wake na washirika ili kuendeleza hatua za dhidi ya Iran.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza aliishutumu Iran kwa kusaidia "mawakala" wake wa Hamas, Houthi, na Hezbollah kuyumbisha utulivu wa kimataifa, na akasema kuwa inatoa ndege zisizo na rubani, makombora na ujasusi wa kimbinu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameongeza kuwa, ujumbe wa onyo wazi lazima upelekwe kwa Iran kutovumilia mashambulizi ya Houthi dhidi ya meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu.
Tangu katikati ya Novemba, kundi la Houthi nchini Yemen limeanzisha mfululizo wa mashambulizi dhidi ya meli za kibiashara zinazovuka Bab al-Mandab.
Kundi hilo lilisema kuwa lilikuwa likilenga meli za Israel, kujibu kile walichokitaja kuwa mauaji ya Israel katika Ukanda wa Gaza na kuzingirwa kwake.
Uingereza inashiriki katika muungano mpya wa kimataifa, "Guardian of Prosperity," unaoongozwa na Marekani, kulinda harakati za biashara katika Bahari Nyekundu dhidi ya mashambulizi ya Houthi nchini Yemen.
Pia ilitangaza vikwazo vipya vinavyolenga "wafanya maamuzi wa Iran na wale wanaotekeleza amri zake," akiwemo Ismail Qaani, kamanda wa Kikosi cha Quds cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran.
Cameron alipoulizwa kama London ilikuwa tayari kuweka hatua zaidi, alijibu kwamba suala hilii "sio kwa ajili ya kujadiliwa kwa umma".
BBC Swahili
UK ni sawa na mbwa Koko.
Mbona mwaka majuzi meli yake ilitekwa na Iran ilipopita pale strait of hurmoz na hakufanya kitu??
Iran ishashindikanika.
 
Waswahili tabu sana, mtu yuko Buza kwa Mama Kibonge na anashindia chai ya rangi na kitumbua kimoja halafu anajifanya kufahamu uwezo wa Iran kijeshi kuliko intelijensia zote za nchi za magharibi zinavyofahamu 😂😂😂

Swala la Iran limewekwa kiporo kwa sasa na litashughulikiwa kikamilifu mwaka 2025 ie baada ya uchaguzi wa Marekani kumalizika mwakani.

Mazingira yenye kuhalalisha Iran kushughulikiwa tayari yameshaandaliwa hivyo ni swala la muda tu na ratiba ndio sasa inaandaliwa na David Cameron hakuongea kwa bahati mbaya.

Iran ameandaliwa mtego bila ya yeye kufahamu na kajiingiza mzima mzima. Iran bado ipo katika harakati zake za kutafuta kufikia uwezo wa kumiliki silaha za nuklia japo kwa sasa inasemekana wamefikia 60% ya urutubishwaji ikiwa ni pungufu ya uwezo wa kutengeneza silaha za nuklia kwa 25%.

Inasemekana ili kufikia uwezo huo Iran inaweza ikahitaji miaka 5 au zaidi na ndio maana sasa inasemekana wakati wa kuiwahi Iran umefika na hakutakuwa na kizuizi zaidi.

They say, "strike while the iron is hot."
Hakuna lolote.
Toka 1979 walisema vivyo hivyo na mpaka sasa miaka arobaini naa na hawajafanya kitu.
Iran sio Iraq.
Kama walishindwa kuiangamiza kipindi za miaka ya 1980s ikiwa dhaifu watawaeza kuiangamiza sasa??!!!
Hiyo Iran unayoizungumzia ishatibua mipango ya US na UK mara kibao.
 
Back
Top Bottom