Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Madebe aliwah toa movie ya hvy unavyowaza yy akiwa mhalifu dem mpelelez mwisho akampa ujauzto akazaa madebe yupo jela ushahid umepatikana akiwa na makosa maan dem alimpeleleza had akajua ukwlIla kuna kazi zina risk sana aisee,,,!!
Sasa kwa mfano akibebeshwa mimba na huyo muhalifu,, hii imekaa vipi hii,,!?
Upelelezi umekamilika, jamaa kishakamatwa na huyo bi-dada tayari kitambi,, haya nani analea mtoto!?
Asee kwl pale la chaaz kuna m1 alilewa akatongoza dem ikatokea sintofaham na raia m1 ambaye alimchukua dem wa jamaa, uyo mwanausalama akammind raia akampiga kishenz uku akijitapa unajua mm nan ww polis kuja akawapa kitambulish wakamuacha then Wakapita na raia yy akaachwaWengi siku hizi wapenda sifa ni rahisi sana kuwajua hasa hawa vijana wadogo wanaopenda pombe na mademu
Kumbe bado mnatumia hizo njia za kijima?Ni wakusanya habari.. Utajiachia ukidhani ni wendawazimu nk kumbe wenzako wako kazini
MlimfanyajeHuyo ndio infoma sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usipende Sana kukwangua mzizi wa mhindi wakati unapalilia utanyauka looohKumbe bado mnatumia hizo njia za kijima?
Memory ilikuwa na nn[emoji23][emoji23] alichokutana nacho hakiamini kabisa
Ndiyo maana uingereza anawafanyia ushushushu kizembe sanaUsipende Sana kukwangua mzizi wa mhindi wakati unapalilia utanyauka loooh
Hata huku Ghana ya mashariki napo sio poa mkuuNdiyo maana uingereza anawafanyia ushushushu kizembe sana
......"if you keep in the past, nobody will discover you".............Kumbe bado mnatumia hizo njia za kijima?
Huyo mwanafunzi
It's only applicable kwa mandezi......"if you keep in the past, nobody will discover you".............
Sio mimi soma tena, ulikoti kimakosa mkuuHuyo mwanafunzi
Kuna jamaa wakati niko chuo alikua anaishi mitaa kama mitatu yani kote ana ghetto. Alificha sana ila mwisho ikajulikana anaishi kwingiNimeshakutana nao wawili maeneo tofauti mmoja alikua anajifanya mfanyabiashara wa sokoni kariakoo ila work field yake ilikua Mwananyamala aliwaingizaga jamaa kwenye 18 watu wa arm robery
Mwingine nilikutana nae chuo alikua anajifanya mwanafunzi siku moja nikamkuta ndani ya Ashok zile km noa nilishikwa na butwaa
Kiukweli hawa jamaa wana akili nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app