Camouflagers na informers

Camouflagers na informers

Ila kuna kazi zina risk sana aisee,,,!!
Sasa kwa mfano akibebeshwa mimba na huyo muhalifu,, hii imekaa vipi hii,,!?
Upelelezi umekamilika, jamaa kishakamatwa na huyo bi-dada tayari kitambi,, haya nani analea mtoto!?
Madebe aliwah toa movie ya hvy unavyowaza yy akiwa mhalifu dem mpelelez mwisho akampa ujauzto akazaa madebe yupo jela ushahid umepatikana akiwa na makosa maan dem alimpeleleza had akajua ukwl
 
Wengi siku hizi wapenda sifa ni rahisi sana kuwajua hasa hawa vijana wadogo wanaopenda pombe na mademu
Asee kwl pale la chaaz kuna m1 alilewa akatongoza dem ikatokea sintofaham na raia m1 ambaye alimchukua dem wa jamaa, uyo mwanausalama akammind raia akampiga kishenz uku akijitapa unajua mm nan ww polis kuja akawapa kitambulish wakamuacha then Wakapita na raia yy akaachwa
 
 
Nimeshakutana nao wawili maeneo tofauti mmoja alikua anajifanya mfanyabiashara wa sokoni kariakoo ila work field yake ilikua Mwananyamala aliwaingizaga jamaa kwenye 18 watu wa arm robery
Mwingine nilikutana nae chuo alikua anajifanya mwanafunzi siku moja nikamkuta ndani ya Ashok zile km noa nilishikwa na butwaa
Kiukweli hawa jamaa wana akili nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa wakati niko chuo alikua anaishi mitaa kama mitatu yani kote ana ghetto. Alificha sana ila mwisho ikajulikana anaishi kwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom