Camouflagers na informers

Camouflagers na informers

Mie niliwahi kukutana na kamoja kanauza bar moja maarufu mkoa flani hivi bar hiyo ni kubwa na ina wahudumu wengi walembo nikiwa safarini nikamzoea bila kujua halafu nilikuwaga na mishe flani za kibiashara enzi hizo sasa nikawa naenda hapo bar mapema kabla ya mida ya wateja wengi nafika naagiza vinywaji nakunywa halafu niko busy na simu yangu muda wote na wateja wakishakuwa wengi nasepa.
Sasa nahisi aliona utulivu wangu akahisi nina biashara flani haramu au vipi maana siku ya nne tu alianza kunizoea akawa ananihudumia yeye na kilichofanya nimstukie ni miwani yake anayovaa muda wote ni "spy glasses" nikaanza kuhisi huyu ni nyoka alipoanza mazoea nikawa nampa ofer ya kinywaji halafu akiwa karibu yangu najifanya naongea na simu mara kwa mara tena kwa mafumbo hapo ndo nilifanikiwa kumvuta akajilengesha tukapanga nikamle siku moja baada ya muda wa kazi saa sita usiku akanipigia anakuja nilipomuelekeza akaja room nikamla kiroho safi bila yeye kujua kuwa nimeshamstukia usiku akawa anaingiza story za kunichimba kuwa nadeal na biashara gani nikamwambia mie huwa ni mganga wa kienyeji nina wateja wengi na hapo mkoani nilikuja kufanya zindiko kwa mfanyabiashara mmoja maarufu tuliongea mengi ila usiku nilipiga show ya kihuni(natumiaga vumbi la kongo)
Alipochoka sana alisinzia nikasachi mkoba nakutana na vifaa vya kurecord sauti pamoja na hiyo miwani yake ya spy kwa kuwa naijua vizuri nilifanikiwa kuchomoa memory card nikaificha asubuhi hajui kinachoendelea nikala mzigo tukaagana nikamuahidi kurudi pale bar jioni tena kumbe ndo safari nikarudi zangu Dom na line ya simu nikabadiri.
Wewe fala? Kwanini uliamua kuondoka na memory card ulifanya kosa moja kubwa sana.
 
Back
Top Bottom