Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Sidhani ,unless uwe hujui urafiki na aina zakerafiki ni mtu ambae lako lake lake lako,
Hizo takwimu unazipata wapi?Mkuu naomba tuhusike na maada ya mezani inayojikita kujua ni sababu gani zinapelekea kwamba nchi ikiwa na wakristo wengi kuzidi waislam bado waislam wanakuwa huru lakini ikiwa kinyume chake wakiristo wanaanza kuminywa,
Mfano tu kwa hapa Tanzania wakristo ni kama asilimia 65 laini tunaishi vizuri tu na waislam
hio ndio mada iliyopo mezani
Walidanganywa ajabu hata kujiongeza hawawezi kabisa ,wanatia huruma ,Mungu wao ni katili from day one to end.Still kuna mtu anasema na anakaza shingo kabisa kwamba anaabudu Mungu mwenye maneno ya hovyo kama haya!
Hawa watu wana umuhimu wa kuhurumiwa.
Kweli mkuu!! Hata hizo adhana zipo lakini siyo kwa makelele kama ya hapa Magomeni Dar es Salaam.
Pili hakuna Waislamu wanabaki misikitini kusubiri sala inayofuata. Wanaswsli wanaondoka. Lakini wa huku Buza kwetu unakuta mtu kukicha tu yuko msikitini, akiswali swala ya kwanza anasubiri ya saa 7 hapo hapo. Misikiti inageuka kuwa vijiwe vya majungu na kupanga siasa kali
Wanawake wao ni mashine za kutotolea vitoto viiingii🤣Waislam wengi wana inferiority complex, hamna kitu wanasema ni makosa yao au kuna baadhi ya viongozi wao wame/likikosea..
Mifano iko mingi mno ya wao kulaumu sanasana wakristo..
Wanamtupia lawama nyerere kwa wengi wao kutosoma/kufeli ilhali shule zipo mpaka leo....
Wanawalaumu western eti wanasababisha vita nchi za kiislam, hao waislam wengi duniani wana faida gani kama hawasaidiani na tatizo wanalijua, kuna jamaa hapo kadai waislam ni wengi duniani sasa wingi wao una faida gani kama wanaendeshwa na kundi dogo??
Sijui kwanini wanapenda kulaumu watu wengine kwa matatizo yao, ona hapo watu wanacharazwa mboko kipuuzi kabisa, alafu utetezi wa jamaa eti wakristo wamesababisha kwa chuki chuki gani sijui aisee.
Ukijitoa kwenye kivuli cha dini utaona maujinga mengi sana ya hizi dini.
Usitake kuwapangiwa watu. Na wewe nioneshe wapi wapi kwenye Quran kuna SuniNionyeshe kweny Qur an walipo !? Uislamu hausomi itikadi za watu bali ni maamrisho ya Qur an.
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha
Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?
Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.
mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi imani za waislam, zinaheshimiwa lakini nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikishimiwa lakini hapo jirani Zanzibar hali ni tofauti
Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza
Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa
View attachment 2909299
Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578
Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,
Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.
View attachment 2909283
Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa
Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja
View attachment 2909277
Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wananona wana haki ya kumuadhibu,
Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,
View attachment 2909278
Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam,
Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Nilishawahi kukujibu kwa kukupa ayah sidhani kama ni wewe , kusali ipo kweny Qur an jaribu kusoma mpaka nyakati zipo ... Waislamu hawatendi nje ya Qur an na maamrisho yake kupitia Mtume Muhamad (s.w) .
Itabidi usome kwanza ,mambo ya uzushi wanafanywa na waislamu ila uislamu huayatambui yapo kibao tu mbona na yanaeleweka.
Ndio maana waislamu hawawezi kukaa na wapumbavu kama nyinyiWanawake wao ni mashine za kutotolea vitoto
Wanawake wao ni mashine za kutotolea vitoto viiingii🤣
View attachment 2910068
Halafu Waislam wanavyojaribisha kutuambia Islam is a Religion of peace, ni sawa na KAHABA KUTAKA kutuaminisha kuwa yeye ni badoBIKIRA
View attachment 2910070
Sikupatii picha ulivyo , ungekuwa na uwezo hata ndugu zako unawanywesha sumu wakibadili diniUislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa.
Shida yenu mnataka tufuate Quran Kwa uelewa wenuLeta aya hapa ya quran iliyosema mswali swala 5
Leta aya ya quran iliyosema wanawake wavae hijab
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha
Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?
Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.
mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi imani za waislam, zinaheshimiwa lakini nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikishimiwa lakini hapo jirani Zanzibar hali ni tofauti
Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza
Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa
View attachment 2909299
Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578
Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,
Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.
View attachment 2909283
Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa
Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja
View attachment 2909277
Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wananona wana haki ya kumuadhibu,
Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,
View attachment 2909278
Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam,
Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Mkuu naomba tuhusike na maada ya mezani inayojikita kujua ni sababu gani zinapelekea kwamba nchi ikiwa na wakristo wengi kuzidi waislam bado waislam wanakuwa huru lakini ikiwa kinyume chake wakiristo wanaanza kuminywa,
Mfano tu kwa hapa Tanzania wakristo ni kama asilimia 65 laini tunaishi vizuri tu na waislam
hio ndio mada iliyopo mezani
Kule Kongo nako ni waislamu au vipi ??Na sio against Christian ila ni against dini zote chini ya jua. Kuna vita kati ya Waislam na Wabudha, Muslim against Hindu, Islam against Jews na mwisho ni Muslim against Muslim( Shia against Answar Sunna, Ahamadiya vs Answar n.k) na nyingine ni ile Muslim against Muslim ya Sudan wanapambana Muislam Mgunya (Mwarabu koko against Black Muslim)
Una uhakika?Walidanganywa ajabu hata kujiongeza hawawezi kabisa ,wanatia huruma ,Mungu wao ni katili from day one to end.
Imagine mungu ambaye hajawahi kutamka kuagiza wafuasi wake wapendane yaani neno pendaneni halimo kinywani mwake kabisa
Allah na Jehova ni ngumu sana kukaa pamoja,lakini Allah ndio huwa anaungua vibaya Jehova akiwepo.
Nyinyi Waislam ni Makatili wa kutupilia mbali; ona wenzenu hapa chini kile walichotumwa na SHETANI ALLAHNdio maana waislamu hawawezi kukaa na wapumbavu kama nyinyi
Mnauchukia sana uislamu,
Ukijaribu kuangalia comments za humu ndio utaona uhalisia
Wakristo Wana chuki kubwa dhidi ya uislamu ila wanajifanya wanawapenda waislamu, huo ni unafikiComments tu na post zinaonesha nani anamchukia mwenzake mapovu yenye hisia ndani yake, watu tunaishi familia moja wengine kanisani wengine msikitini , lakini hapa kila siku malalamiko na kashfa juu ya uislamu na waislamu