Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha

Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?

Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.

mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi 71% lakini imani za waislam zinaheshimiwa, wakati huo huo nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikiheshimiwa lakini visiwani Zanzibar kulikojaa waislam hali ni tofauti.

Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza

Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa

View attachment 2909299

Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578

Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,

Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.

View attachment 2909283

Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa

Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja

View attachment 2909277

Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wanaona wana haki ya kumuadhibu,

Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,

View attachment 2909278

taasisi za elimu kama vyuo vya kikristo wala haviingilii uhuru wa wanafunzi wa kislam lakini kwa upande wa vyuo vya kiislam hali ni tofauti, mfano chuo cha kiislam cha Morogoro hairuhusiwi kwa mwanafunzi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume hata kufanya discussion isipokuwa awepo mtu wa tatu, kuna video iliwahi kuvuja ikionyesha watu wazima wa chuo hicho wakidhibiwa kwa viboko.

View attachment 2910122

Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam, Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
🙄🤔
 
Imekua ni fujo tena inaonekana wewe ni mshari sana
mara dawa ikuingie ni kauli za vurugu vurugu

Ulizaliwa ukaukuta ukristo na utakufa utaacha huwezi shindana nao
Siyo yeye tu, Mtume Muhamad kazaliwa kaukuta Ukristu, amekufa ameuacha Ukristu.
Hata Allah naye alipoanzisha Uislam alikuta tayari upo.

Ukristu upo sana hauendi kokote hata Allah anajua.
 
Islam is like modern fascism and nazism, wanataka kutawala dunia nzima (wana mawazo kama ya Hitler) ndo maana wanawaua wasio waislamu huko ulaya kwa mabomu ya kujitoa muhanaga.
Waislamu wakiwa kwenye umati ambao wao ndio wachache(minority) wanapigania haki za wachache lakini wao wakiwa ndio wengi (majority), wachache hawana haki.
 
Nimeona maandamano ulaya jana,wakiwa na kauli mbiu"who th f*ck is llah"??

Masikini waliwakirimu wakawapokea kwa kuamini ni bainaadam kama wao wanatakiwa hifadhi waishi tu dunia haina mwenyewe hii,ghafla yameanza vurugu,mara yanaswali barabarani,vurugu zisizoeleweka na makelele ya allahu akbar.

Moja lilikuwa linamchoma kisu mtu mwingine,polisi kwa ufala wake wa kuogopa kuligusa kwamba yataanza maandamano akaenda kumdhibiti tena yule mhanga,likamkita kisu polisi yule yule aliyeamua kuliacha🤔🤔🤔,haya majini hayana jema,bora ufuge nyoka kama umekosa wema.
 
Attachments

  • 20240602_192355.jpg
    20240602_192355.jpg
    185.2 KB · Views: 2
Nimeona maandamano ulaya jana,wakiwa na kauli mbiu"who th f*ck is llah"??

Masikini waliwakirimu wakawapokea kwa kuamini ni bainaadam kama wao wanatakiwa hifadhi waishi tu dunia haina mwenyewe hii,ghafla yameanza vurugu,mara yanaswali barabarani,vurugu zisizoeleweka na makelele ya allahu akbar.

Moja lilikuwa linamchoma kisu mtu mwingine,polisi kwa ufala wake wa kuogopa kuligusa kwamba yataanza maandamano akaenda kumdhibiti tena yule mhanga,likamkita kisu polisi yule yule aliyeamua kuliacha🤔🤔🤔,haya majini hayana jema,bora ufuge nyoka kama umekosa wema.

Zawadi yako hii

View: https://youtu.be/8sMO0lPJ9Fg?si=n-6Y1pbU6lwQ5AsP
 
Nimeona maandamano ulaya jana,wakiwa na kauli mbiu"who th f*ck is llah"??

Masikini waliwakirimu wakawapokea kwa kuamini ni bainaadam kama wao wanatakiwa hifadhi waishi tu dunia haina mwenyewe hii,ghafla yameanza vurugu,mara yanaswali barabarani,vurugu zisizoeleweka na makelele ya allahu akbar.

Moja lilikuwa linamchoma kisu mtu mwingine,polisi kwa ufala wake wa kuogopa kuligusa kwamba yataanza maandamano akaenda kumdhibiti tena yule mhanga,likamkita kisu polisi yule yule aliyeamua kuliacha🤔🤔🤔,haya majini hayana jema,bora ufuge nyoka kama umekosa wema.

View: https://youtube.com/shorts/lMkyriHcroE?si=VQGIZjObJleLCPpn
 
Hizi mada huwa zinasaidia nini zaidi ya kuzidisha chuki? Kwakuwa huwezi kunadili kitu. Ukristo sio dini ya kulalamika, huwezi kusikia wakatoliki wanalalamika au kukashifu dini au madhehebu ya wenzao licha ya wanayotendewa ila hawa walokole hawana hekima kama wale wa visuruli vifupi.
 
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha

Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?

Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.

mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi 71% lakini imani za waislam zinaheshimiwa, wakati huo huo nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikiheshimiwa lakini visiwani Zanzibar kulikojaa waislam hali ni tofauti.

Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza

Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa

View attachment 2909299

Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578

Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,

Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.

View attachment 2909283

Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa

Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja

View attachment 2909277

Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wanaona wana haki ya kumuadhibu,

Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,

View attachment 2909278

taasisi za elimu kama vyuo vya kikristo wala haviingilii uhuru wa wanafunzi wa kislam lakini kwa upande wa vyuo vya kiislam hali ni tofauti, mfano chuo cha kiislam cha Morogoro hairuhusiwi kwa mwanafunzi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume hata kufanya discussion isipokuwa awepo mtu wa tatu, ukivunja hizo sheria kuna adhabu, kuna video iliwahi kuvuja ikionyesha watu wazima wa chuo hicho wakitandikwa bakora.

View attachment 2910122

Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam, Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Sio kweli ni UONGOOO Uislamu hauna tarekhee hizo Wakatai wa Mtume kulikuwa na mayahudi madina kwa sabau dola ilikuwa ya kiisilamu walikuwa wakitoa jizia tu walitoa malipo kutokana wapo katika himaya ya dola ya kiisilamu .
Usiandike UONGO Fanya reserch ya kweli hizo zote ni propanganda hata Wakristo vile vile wanazo propanganda hizo huwa hawawataki hasa waislmu na wanawaua kabisaa.
 
Nimeona maandamano ulaya jana,wakiwa na kauli mbiu"who th f*ck is llah"??

Masikini waliwakirimu wakawapokea kwa kuamini ni bainaadam kama wao wanatakiwa hifadhi waishi tu dunia haina mwenyewe hii,ghafla yameanza vurugu,mara yanaswali barabarani,vurugu zisizoeleweka na makelele ya allahu akbar.

Moja lilikuwa linamchoma kisu mtu mwingine,polisi kwa ufala wake wa kuogopa kuligusa kwamba yataanza maandamano akaenda kumdhibiti tena yule mhanga,likamkita kisu polisi yule yule aliyeamua kuliacha🤔🤔🤔,haya majini hayana jema,bora ufuge nyoka kama umekosa wema.

View: https://www.youtube.com/watch?v=zHjo2K-tMsM
 
Mkuu naomba tuhusike na maada ya mezani inayojikita kujua ni sababu gani zinapelekea kwamba nchi ikiwa na wakristo wengi kuzidi waislam bado waislam wanakuwa huru lakini ikiwa kinyume chake wakiristo wanaanza kuminywa,

Mfano tu kwa hapa Tanzania wakristo ni kama asilimia 65 laini tunaishi vizuri tu na waislam

hio ndio mada iliyopo mezani
Hivi waislamu wapo asilimia ngapi? Maana kwenye shule na vyuo vingi vyq serikali hata 10% sidhani kama wanafika. Hiyo data Yako umeitoa wapi?
 
Waislamu wengi hawaijui dini yao . Wamekaririshwa chuki ambazo hazipo hata kwenye vitabu vyao. Ni rahisi sana kumdanganya na kumlisha chuki muislamu kupitia dini yake kuliko mkristo.

Hali hii imefanya watu kuwatumia waislamu kwenye malengo yao ya kiharifu Kwa mgongo wa dini.

Hali hii itabadilika taratibu kadili miaka inavyokwenda, kwani hata wakristo walikuwa hivyo hivyo wakiwafanyia wayahudi hapo kale.
 
Hivi waislamu wapo asilimia ngapi? Maana kwenye shule na vyuo vingi vyq serikali hata 10% sidhani kama wanafika. Hiyo data Yako umeitoa wapi?
Huyu Kaka anazidi kusema uongoo namshangaa kwa nini anasema UONGOOO Wakristo hawafiki asalimia 65% Unajua kuna mpango Maalum kulifanya taifa la TZ kama vile Kenya na Uganda kwamba dini ya Kristo ndizo zinazotawala East Afrika Kenya n Uganda ni kweli wamefanikiwa lkn TZ imegonga mwamba Wakristo wamekaa kwa tz kufanya hiyo sensor kujua Waislamu ni wangapi na wakristo ni Wangapii .Mbinu munazozifanya ni kuwanyima Elimu Waislamu kwa upande waTanganyika .Waisilamu bumbu hilo halitambui .Angalia bunge la TZ utajua nini ninachosema so kuna vita ya chini kwa chini inapigwa halafu wewe mpumbavu unakuja hapa kubweka .
 
Mi nikiwaga na njaa weekend nachoma kilo nzima naitafuna taratiibu na kushushia na bia ya Safari Lager.
Nikishiba sili kabisa.
Kuna jamaa yangu anaitwa Abdallah kila Ijumaa baada ya kutoka msikitini lazima akanunue kilo 3 akiwa na kanzu yake akiwa amebeba kitabu flan hv nimekisahau jina hua anakuja getto tunakinukisha.
 
Kwa sababu Islam ni kama fascism au nazism, ni sio dini bali imeegemea kwenye itikadi ya kisiasi.
 
Back
Top Bottom