Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Ni jambo linalojuulikana katika historia - na hata ukisoma katika Biblia kitabu cha Matendo ya Mitume utaona - ya kuwa Ukristo kwanza haukuhubiriwa kwa mataifa mengine mpaka alipoingia Paulo.

Na yeye alipingwa vikali sana kwa kutoa shauri hiyo na wanafunzi wake Yesu waliomwona na wakawa naye siku zote na wakajifunza vilivyo mafunzo yake na makatazo yake ya kwenda kuwahubiria watu ambao bado ni makafiri.

Busara ya Mwenyezi Mungu kukataza mafunzo ya Yesu yasikiuke mipaka ya Israili ni kuwa isije dini ya haki ikaharibiwa na ushirikina wa makafiri ulioenea pande zote katika zama zile.

Ulimwengu ulikuwa bado haujawa tayari kupokea ujumbe wa ulimwengu mzima, na huyo mwenye kuweza kubeba ujumbe ule hajazaliwa, na umma wa kutimiza jambo hilo na kulieneza bado haujapikika ukawa tayari.

Yaliyotokea tumeyaona.

Ukristo tuuonao na ulioenea ulimwenguni sio Ukristo aliofundisha Yesu.

Wa Yesu ulitoweka na mwenyewe na wafuasi wake wa mwanzo wa kabila la Kiyahudi.

Paulo kaufuja Ukristo.
Sawa paulo kaufuja ukristo na tumeamua kuufuata wewe muislamu unapungukiwa na nini
 
Sawa Yesu hatuombei ila mimi na wakristo tumeamua kumfuata tatizo liko wapi au wewe unapungukiwa na nini

Kauli zinazonukuliwa kwa kudai kuwa ni ushahidi kuwa Yesu mwenyewe alitaka mafunzo yake yakafundishwe kwa ulimwengu wote yamo katika Injili ya Mathayo 28.19-20, Injili ya Luka 24.46-49 na Marko 16.15. Mathayo inasema:
Basi, enendeni, mkwafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Mathayo 28.19-20

Luka anatwambia:

(Yesu) akwaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu. Nanyi ndinyi mashahidi wa mambo haya. Na tazama, naweletea juu yenu ahadi ya Baba yangu; lakini kueni humu mjini, hata mvikwe uwezo utokao juu.

Luka 24.46-49

Na Injili ya Marko inasema:

(Yesu) akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.

Marko 16.15

Je, imekuwaje?

Yesu ni kigeugeu?

Mbona huku anawakataza wanafunzi wake wasende kuwahubiria ila kabila kumi na mbili za Israili, na huku anawaambia nendeni kuwahubiria Injili ulimwengu mzima.
La, Yesu si mbabaishi, wala si kigeugeu.

inaendelea
 
Sawa paulo kaufuja ukristo na tumeamua kuufuata wewe muislamu unapungukiwa na nini

Hebu natuziangalie vilivyo hizo amri mbili, moja ya kuwa mafunzo yake wasifunzwe ila wana wa Israili tu, na ya pili ni hii ya kuwa watu wote wafunzwe dini.

Vipande vyote vitatu nilivyonukulu mwishoni havitaji mambo ya Yesu alipokuwa na maisha yake ya uhai wa kidunia, lakini vyaeleza mambo yaliyotukia baada ya "kufufuka kutoka wafu" kama inavyosimuliwa na Injili zote tatu.

Yajuulikana kuwa Injili ya mwanzo kuandikwa ni Injili ya Marko. Hizo nyingine ziliandikwa baadae, na labda ujuzi wao ulitegemea hiyo hiyo Injili ya Marko.

Yajulikana vile vile kuwa maneno yote yaliyohusu kufufuka Yesu kutokana na wafu, pamoja na hayo maamrisho ya kwenda kuihubiri Injili "kwa kila kiumbe", kinyume na maamrisho yake yote ya kuwa asihubiriwe ila Muisraeli tu - maneno hayo yote hayakuwamo katik Marko ya asli, bali yaliongezwa baadae.

Encyclopaedia Brittanica, nakla ya 11, jalada 17, sahifa 730, yasema ya kuwa kipande chote hicho kiliongezwa baadae, yamkini mwanzo mwanzo wa karne ya pili, kuchukua maneno yaliyopotea, au yaliyoonekana kuwa ni mapungufu.
 
Kauli zinazonukuliwa kwa kudai kuwa ni ushahidi kuwa Yesu mwenyewe alitaka mafunzo yake yakafundishwe kwa ulimwengu wote yamo katika Injili ya Mathayo 28.19-20, Injili ya Luka 24.46-49 na Marko 16.15. Mathayo inasema:
Basi, enendeni, mkwafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Mathayo 28.19-20

Luka anatwambia:

(Yesu) akwaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu. Nanyi ndinyi mashahidi wa mambo haya. Na tazama, naweletea juu yenu ahadi ya Baba yangu; lakini kueni humu mjini, hata mvikwe uwezo utokao juu.

Luka 24.46-49

Na Injili ya Marko inasema:

(Yesu) akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.

Marko 16.15

Je, imekuwaje?

Yesu ni kigeugeu?

Mbona huku anawakataza wanafunzi wake wasende kuwahubiria ila kabila kumi na mbili za Israili, na huku anawaambia nendeni kuwahubiria Injili ulimwengu mzima.
La, Yesu si mbabaishi, wala si kigeugeu.

inaendelea
Tumeamua kumfuata Yesu kigeugeu
 
Niliwahi kumskia shekh mmoja wa mtaa akisema. Wakristo ni halali kuchangia ujenzi wa misikiti. Ila waislam ni kufuru kuchangia ujenzi wa kanisa. Nikachoka sababu ni kwamba ukristo zama zake zilishaisha saivi ni zama za uislam.
Yuko sahihi
 
Muislamu unatumia biblia baada ya kuchoka kukariri quran hongera
Wapo hata baadhi ya mashekh wana tumia Bible ili kuwaonesha udhaifu uliyomo kwasababu ndio kitabu mnacho kiamini.
 
Biblia haina udhaifu wowote imekamilika
Kwako wewe na hao mashehe wako ndo ina udhaifu

Biblia ipi katika hizi hapa chini ndiyo iliyokamilika ??

O = omitted in main text.

B = bracketed in the main text – The translation team and most biblical scholars today believe were not part of the original text. However, these texts have been retained in brackets in the NASB and the Holman CSB.[147]

F = omission noted in the footnote.

Bible translation
PassageNIVNASBNKJVNRSVESVHCSBNETNLTWEBREBAMPCEBCJBCEVERVGWEXBGNTKnoxLEBMSGMounceNIrVNLVOJBNWT
Matthew 9:34F
Matthew 12:47FFFFFOFFF
Matthew 17:21FBFOFBOFFFOOOFOOOOO
Matthew 18:11FBFOFBOOFFOOOOFOOOOO
Matthew 21:44FFBFFFOFFFFO
Matthew 23:14FBFOFBOOFFOOOOFOOOOO
Mark 7:16FBFOFBOOFFOOOFFOOOOO
Mark 9:44FBFOFBOOFOOOOOFOOOOO
Mark 9:46FBFOFBOOFOOOOOFOOOOO
Mark 11:26FBFOFBOOFOOOOFOOOOBO
Mark 15:28FBFOFBOOFFOOOOFOOOOBO
Mark 16:9–20BBFFBBBFBFFBFBBBO
Luke 17:36FBFOFBOOFFFOOOOFOOOOO
Luke 22:20FFFFO
Luke 22:43BFFBBFFFFB+F
Luke 22:44BFFBBFFFFFB+F
Luke 23:17FBFOFBOOFFOOFOOFOOOOBO
Luke 24:12FFOF
Luke 24:40FFF
John 5:4FBFOFBOOFOOOOFOOOOBBO
John 7:53–8:11BFFBBBFBB+FO
Acts 8:37FBFFFBOOFFFOOOOFOOOOBBO
Acts 15:34FBFOFOOOFFFOOOOFOOOOBO
Acts 24:7FBFOFBOOFFOOOOOOOBO
Acts 28:29FBFOFBOOFFOOOOFOOOOBO
Romans 16:24FBFOFBOOFFOOOOFOOOOO
 
Biblia inayotumika kanisani ndo iliyokamilika
 
Yaani Biblia inayotumika kanisani imekamilika hata biblia za Kanisa la mashoga , Gay church na kanisa la devil church ??

Hizo biblia hapo juu zote zinatumika makanisani, jee kanisa lako linatumia biblia ipi hapo juu ??
 
Ukristo ni kikundi kwa ajili ya kumpinga Mwenyenzi Mungu. Lakini Ukristo Ulipokelewa na Waislam hapa Tanzania. Una halalisha Ushoga, Mavazi yasio ya Heshima, Ushirikina, Wizi mpaka Mashirka ya Umma wameyaua, Wizi Serikalini, Ubaguzi ktk Ajira, Umalaya, tabia za Uongo, Viongozi kukosa Uadilifu hasa Marais Wakristo, Ubaguzi ktk Elimu. Ndo Maana tunajiepusha sana
 
Biblia inayotumika kanisani ndo iliyokamilika

Ulimaanisha biblia hii ??

"He that hath seen me hath seen the father."

Let us look at the context:

"Philip saith unto him, Lord, shew us the Father, and it sufficeth us. Jesus saith unto him, Have I been so long time with you, and yet hast thou not known me, Philip? he that hath seen me hath seen the Father; and how sayest thou then, Shew us the Father?"

John 14:8-9

Philip wanted to see God with his own eyes, but this is impossible sinceno one can ever do ever do that. The Bible says:

"No man hath seen God at any time,"

John 1:18

"No man hath seen God at any time,"

1 John 4:12

"And the Father himself, which hath sent me, hath borne witness of me. Yehave neither heard his voice at any time, nor seen his shape."

John 5:37

But they were listening to Jesus' voice and looking at him standing before them! Jesus was simply simply telling us that his own actions and miracles should be a sufficient proof of the existence of God without God having top hysically come down and let himself be seen every time someone is doubtful. This is equivalent to for example:

1)John 8:19: "Then said they unto him, Where is thy Father? Jesus answered, Ye neither know me, nor my Father: if ye had known me, ye should have known my Father also."

2)John 12:44 "Jesus cried and said, He that believeth on me, believeth not on me, but on him that sent me."

3)John 15:23 "He that hateth me hateth my Father also."

4)Matthew 10:40-41 "He that receiveth you receiveth me (Jesus), and he that receiveth me receiveth him that sent me. He that receiveth a prophet in the name of a prophet shall receive a prophet's reward; and he that receiveth a righteous man in the name of a righteous man shall receive a righteous man's reward."

5)Judges 13:20-22: "For it came to pass, when the flame went up toward heaven from off the altar, that the angel of the LORD ascended in the flame of the altar. And Manoah and his wife looked on [it], and fell on their faces to the ground. But the angel of the LORD did no more appear to Manoah and to his wife. Then Manoah knew that he [was] an angel of the LORD. And Manoah said unto his wife, We shall surely die, because we have seen God."

If we want to insist that when Philip saw Jesus (pbuh), he had actually physically seen God "the Father" because Jesus "is" the father and both are one "Trinity," and Jesus is the "incarnation" of God, then this will force us to conclude that John 1:18, 1 John 4:12, John 5:37..etc. are all lies.

Well, is Philip the only one who ever "saw the father"? Let us read:

"Not that any man hath seen the Father, save he which is of God, he hath seen the Father."

John 6:46

Who is this who "is of God" and had seen the Father you ask? Let us once again ask the Bible:

"He that is of God heareth God's words: ye therefore hear them not, because ye are not of God."

John 8:47.

And

"Beloved, follow not that which is evil, but that which is good. He that doeth good is of God: but he that doeth evil hath not seen God"

3 John 1:11.

Have all people who have done good also physically seen God?

"No vision can grasp Him, but His grasp is over all vision. He is the Subtle,the Well-Acquainted [with all things]"

The noble Qur'an, Al-Anaam(6):103
 
Ulishawah Kwa nn nchi za kiislam hazitaki kuchukua wakinbizi kutoka nchi za kiislam zilizo katika machamafuko
Mfano
Kw nn wakinbizi wa kipalestina, Syria, afghan wanakataliwa na nchi zote za kiarabu?
 
Ukishajua itakuongezea nini kwenye maisha yako
 
Ulishawah Kwa nn nchi za kiislam hazitaki kuchukua wakinbizi kutoka nchi za kiislam zilizo katika machamafuko
Mfano
Kw nn wakinbizi wa kipalestina, Syria, afghan wanakataliwa na nchi zote za kiarabu?

Pakistani na Iran wana wakimbizi zaidi ya milioni 2 kila moja

Hizo nchi wamejaa wakimbizi kutoka huko ulikokutaja, Vyombo vya habari vya wanaouchukia uislamu husema vyengine pamoja na makanisa

Itumieni google msidanganywe

Na nchi hizo zimeharibiwa makusudi na nchi hizo wanazokimbilia

Angalia hiyo chart katika wikipedia

Refugees of the Syrian civil war - Wikipedia
 
Back
Top Bottom