Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Ukiwaona wametulia sehemu,kwenye wakristo wengi, jua wanapanga jambo Lao, nguvu yao IPO kwenye wingi,kijana wa ki Islam hujisikia shujaa akioa binti wa kikristo na kumbadilisha dini! Hili ni, takwa wanaambiwa huko Masjid, oeni ma binti wa kikristo muongeze wa Islam, tuwe wengi,
Kwa ufupi, islam mi huwa ona kama watu wenye hila vile.
 
Ukifuatilia, kusoma na kutafiti jinsi uislamu ulivyoanzishwa hutashangaa kuona kwa nini waislamu wako hivyo
 
hivi unajua maana ya pombe? Unaelewa nini ukiambiwa kinywaji hiki ni pombe?

Fungua hiyo bandage kichwani... Joto Kali sana kichwa kipate hewa kisha ndo unijibu.....

Pombe inatoa ufahamu, unalijua hilo! Pombe inaweza ikakupelekea ukamuingia mama au dada yako, unalijua hilo! Pombe itakupelekea ukojoe barabarani au mbele za watu.
 
Wakiristo 65% kwa sensa ipi!?..halafu wapi kwenye waislam wengi wakiristo wamenyanyaswa!?..Kuna makanisa Iran, Syria,Lebanon,Iraq,misri nk..huko ulaya hakuna wakiristo,walishaacha dini,wanafuata ulahidi,ndiyo maana kuoana jinsia moja hawana shida nalo
 
Njia ni moja ukiona unakaa mtaa waislam wengi hama ukiona una mishe zanzibar hama ...usiende uarabuni
 
Masjidi gani ulienda ukasikia wanaambiwa hivyo!?..nyi walokole mna nyege Sana za udini,utasema vurugu mnaziweza vile
 
Acha kudanganya watu bwana, lini hiyo sensa imefanywa. Waislam wengi wako mijini na asilimia kubwa ya watanzania bado wanaishi vijijini ambako waislam unaweza kuwatafuta kwa tochi.

Ukweli ni kwamba kwa asili utamaduni wa kiafrika ulivyo sio waafrika wengi wanaoweza kuwa waislamu ili kukubali kufuata utamaduni wa kiarabu ambayo kimsingi ndiyo uislamu.
 
Ndio maana waislamu hawawezi kukaa na wapumbavu kama nyinyi


Mnauchukia sana uislamu,


Ukijaribu kuangalia comments za humu ndio utaona uhalisia
Nani auchukie uislamu?,uislamu umeleta maafa na majanga duniani ndio maana hata bin Salman ameanza kufuta Hadith za kigaidi nchini mwake.
 
"Angola 'bans' Islam, Muslims, becomes first country to do so - India Today" Angola 'bans' Islam, Muslims, becomes first country to do so
 
Pamoja na kuwa sikusudii kubadilisha mada yako
Naomba unitajie Nchi walau 5 zenye Wakristo kwa asilimia 90 (hata sio hiyo 99% uliyo iliyotaja) kwani nikisema 99% unaweza ukaambulia sifuri
Ufilipino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…