Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Hivi kwanini huwa mnadanganyana sana,dar wakristo ni zaidi ya nusu.

Hivi unajua kabla ya darussalaam na sasa Dar es Salaam ilikua inaitwaje hapo kabla? Na walikua wakina nani na dini yao ni ipi?

Yani unavyosema wakristo ni zaidi ya nusu hata wakristo wengine watakushangaa.
 
Majibu yako yana akisi elimu ndogo uliyo nayo. Mnasoma mqdrassa eti elimu ahera ili iwasaidie nini? Mnafahamu maisha ya ahera nyinyi?
Pumzi inakupa kibri, hujui hata baada ya kifo kuna maisha mengine!
 
Mkuu usidandie gari kwa mbele hebu soma nilicho sema Mara ya kwanza.
 
1.kutembea uchi unaelewa maana yake au unaropoka basi mwambie mama ake aonyeshe hata matiti yake nje au maungo yake,hata hiyo dini yako hairuhsu mabango yapo makanisa kibao tatizo ni nyie kushika mila za wazungu wakati yesu hakuwa mzungu.

2.Saudi wakristo wapo tena kibao ,kanisa hakuna kutokana na wenyewe kule mnaenda kibiashara na sio kujenga pia saudi sio yote baadhi ya miji ni waislamu tupu sasa kanisa la nn😅😅?

Chanzo cha makanisa Africa ni ukoloni ndio uliacha makanisa kule saudi hamkuwahi kutawala hilo kanisa litafika lin, hapo zenji mlitawala ndio maana kuna makanisa kongwe.

3.Nyerer ndio agent wa ukatoliki tena Africa Mashariki pamoja na kina Obotte ,bila ya Nyerere nyie 😅😅msingekuwepo
 
Ninakwambia wewe akili ndogo sana sasa kama unasema Saudi Arabia kuna wakristo kibao basi kwa nini hamna kanisa..!!

Nyerere alikuwa ni mkatoliki na ndio dhehebu aliyochagua kwa sababu ni uamuzi wa mtu kuamua aabudu wapi kulingana na imani yake huwezi kutegemea kila mtu awe muislam kisa tu wewe ni wa imani hiyo.
 
Ukisoma comments za watu utagundua, Wana chuki za ndani na uislamu, wanataka waislamu wafuate mifumo yao ya maisha.

Pia wanataka hata Quran isiwepo, wanataka Quran - biblia itayoendana na maisha wanayoyataka.




Uislamu unayatambua hayo na hauyumbi kwa propaganda zenu

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ
Mayahudi na manaswara hawatokuwa radhi nawe mpaka ufuate Mila zao. 2: 120

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا بِطَانَةً مِنْ دُونِكُمْ لَا يَأْلُونَكُمْ خَبَالًا وَدُّوا مَا عَنِتُّمْ قَدْ بَدَتِ الْبَغْضَاءُ مِنْ أَفْوَاهِهِمْ وَمَا تُخْفِي صُدُورُهُمْ أَكْبَرُ ۚ قَدْ بَيَّنَّا لَكُمُ الْآيَاتِ ۖ إِنْ كُنْتُمْ تَعْقِلُونَ
Enyi mlio amini! Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda yanayo kudhuruni. Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini. 3:118


Aya ipo wazi kabisa, mahusiano yetu na wasiokuwa waislamu ni katika mambo ya kimaisha; Biashara, kazi, kusaidiana katika mambo mazuri nk

Linapokuja swala la dini na ibada Huwa hatushikiki na wala hatuwasikilizi.

لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. 109:6


Wassalaam
 
Kibaya zaidi hata biblia yao haiwaambii wavae vimini makabisani

Yaani Mungu akuruhusu uvae nguo Haina staha? Ukitembea chupi inaonekana
 
Kwa hiyo mnataka na sisi tumuabudie huyu muigizaji mnayemuweka mbele ya makanisa na kumvaa picha yake kwenye rozari?
 

Attachments

  • Screenshot_20240213-212028.jpg
    40.2 KB · Views: 3
Allah sio shetani mkuu , hili ni neno la kiarabu lenye maana Mungu
Kama ALLAH siyo yule SHETANI MWENYEWE mbona ktk hii hadithi hakukana aliporejezewa kuwa YEYE NI Shetani?
 
Reactions: 511
Hapo watakuletea zile hadithi njoo uongo njoo tamu kolea
 
Hapo watakuletea zile hadithi njoo uongo njoo tamu kolea

MBONA AYA ZIKO NYINGI TU

TUANZIE NA HIZI


MUNGU HAWEZI KUONEKANA KWA MACHO. HAKUNA ALIYEMWONA MUNGU, KWA HIYO YESU SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; "Hakuna mtu ambaye amemwona Mungu wakati wowote." [Yohana 1:18]

Yesu (AS) akasema; "Si kwamba mtu amemwona Baba." [Yohana 6:46]

“Hakuna maono yanayoweza kumshika, bali Yeye hushika maono yote. Yeye ni Al-Latiif (Mpole na Mpole), Mjuzi wa kila kitu.” [Qur’ani 6:103]

“MUNGU akaendelea, “Lakini huenda usinione uso wangu. Hakuna anayeweza kuniona na kuishi.” [Kutoka 33:20]

“Mungu asiyeonekana.” [Wakolosai 1:15]

“Basi kwa Mfalme wa milele, asiyeweza kufa, asiyeonekana, Mungu pekee, na iwe heshima na utukufu milele na milele. [1 Timotheo 1:17]

Ambaye hakuna mtu aliyemwona wala awezaye kumwona.” [1 Timotheo 6:16]
 
Naona hoja kichwamchungwa ndio zimejaa tu. wakati mwingine jitahidi kuficha ujinga wako ewe kafiri
 
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! {kule no CONDOM}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…