Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Alikua mwarabu,Ila waarabu walikua na miungu yao latta na uzza,walimkataa Mungu muumba wa Muhammad
Sawa ngosha.
Sasa utakubaliana na mimi neno Allah lilitokana na mungu (muungu ) wa hao waarabu, je tofauti ya Allah wa miungu na Allah unaemwamini ni ipi?
 
Naona hoja kichwamchungwa ndio zimejaa tu. wakati mwingine jitahidi kuficha ujinga wako ewe kafiri
Kama mimi nisieuwa ni kafir” na wewe muislam unaeuwa uitwe nani?

Kuna jina lingine zuri zaidi ya kuitwa “Shaitwani”?
 
sheitwani Ni yule anaempinga Mungu na kupinga maagizo yake
Sasa unataka amkubali Mungu unaemwamini wewe wakati na yeye anae Mungu wake anaemwamini??

Kati yenu hakuna mwenye uhakika wa Mungu yupi ni sahihi badala yake kila mmoja atamtetea Mungu anaemwamini.

Punguzeni kukashfiana
 
Ni ujinga tu waislamu wa huku Buza. Nimetembea Senegal ina 95% Waislamu lakini hawana hizi ushamba kwanza za kuwa na sigida usoni, kunyanyasa Wakristu hata kuwabagua. Ni hawa wa huku kwetu tu akina Ponda ndiyo wana mambo ya kindezi
Ponda hajawahi kuwa mbaguzi wala mnyanyasaji kidini.
 
Ingia kwenye kamusi halafu utuletee maana ya GAIDI?
 
Sasa unataka amkubali Mungu unaemwamini wewe wakati na yeye anae Mungu wake anaemwamini??

Kati yenu hakuna mwenye uhakika wa Mungu yupi ni sahihi badala yake kila mmoja atamtetea Mungu anaemwamini.

Punguzeni kukashfiana
Mungu wa kweli anajulikana kwa dalili.
 
Ndo wanaongoza kwa umaskini...poor them with their perspectives
 
Wapewe nchi yao...fukuza wapemba na waunguja wote waliopo huku Bara....wabaki waislamu wa bara tuu kidogo wana uvumilivu...
 
Wasenegal ni exceptional, naona wanaongoza kwa ustaarabu Afrika nzima.
 
Yesu (AS) akasema; "Si kwamba mtu amemwona Baba." [Yohana 6:46]

Yohana 6:46
"Si kwamba mtu amemwona Baba, ila yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba."


Yesu (AS) akasema; "Hakuna mtu ambaye amemwona Mungu wakati wowote." [Yohana 1:18]

Yohana 1:18
"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua."


Acha upotoshaji wewe jamaa. Hizo aya ulizonukuu zinasomeka kama hapo juu naona wewe umetunga za kwako ukaweka hapa
 

Kama chanzo cha makanisa Africa ni ukoloni je Na chanzo cha misikiti Africa ni nini ?
 


Mimi sijaweka aya zangu nimeziweka kwa ufupi tu na wala hujathibitisha hapo kama Yesu ni mungu

YESU NI MTUMISHI WA MUNGU, HIVYO YEYE SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; “Kama vile Mwana wa Adamu hakuja kutumikiwa, bali kutumika.” [Mathayo 20:28]

“Tazama mtumishi wangu (Yesu), niliyemchagua.” [Mathayo 12:18]

"Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka, amemtukuza mtumishi wake Yesu." [Matendo 3:13]

"Kwa maana ni kweli juu ya mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta." [Matendo 4:27]



Na hapo pia ziweke kwa urefu utoe ushahidi umpe uungu Yesu kinyume na nilizozinukuu aya
 
Kama chanzo cha makanisa Africa ni ukoloni je Na chanzo cha misikiti Africa ni nini ?
Dini Africa ilisambaa sio kwa lazima kama walivyofanya wakoloni hawakupi elimu mpaka uwe mkristo kwanza.

Pia jiulize misikiti mikongwe india na china imetokea wapi?

Jiulize kama Ukristo ulianzia mashariki ya kati inakuwaje unakosa domination kule tena unapotea ,nchi nyingi ukristo ni sumu..


Ukweli ni kwamba hiyo ni dini ya wazungu wnajatahidi kuonyesha wapo sawa na mafundisho ya yesu ila wapo tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…