Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa.
Kama huelewi basi ,unaongelea vip kitu hukijui ? 😂😂Ingia kwenye kamusi halafu utuletee maana ya GAIDI?
Hiyo dini ni tatizo
Dini Africa ilisambaa sio kwa lazima kama walivyofanya wakoloni hawakupi elimu mpaka uwe mkristo kwanza.
Pia jiulize misikiti mikongwe india na china imetokea wapi?
Jiulize kama Ukristo ulianzia mashariki ya kati inakuwaje unakosa domination kule tena unapotea ,nchi nyingi ukristo ni sumu..
Ukweli ni kwamba hiyo ni dini ya wazungu wnajatahidi kuonyesha wapo sawa na mafundisho ya yesu ila wapo tofauti kabisa
Maelezo marefu ila hujajibu swali nililokuuliza.
Kama chanzo cha makanisa Africa ni ukoloni je Na chanzo cha misikiti Africa ni nini ?
Jibu swali tujue kama misikiti ama uislam uliletwa africa na wakoloni ama sio wakoloni ?
Uliziweka kwa ufupi ili kutwist maana haukuwa na nia njema. Tukiweka hapa aya za Qoran kwa ufupi itakuwa vichekeshoMimi sijaweka aya zangu nimeziweka kwa ufupi
hayo ni mawazo yako na bado hujaleta hoja ya kupinga zile aya , bado zinasema Mungu haonekani , Yesu si MunguUliziweka kwa ufupi ili kutwist maana haukuwa na nia njema. Tukiweka hapa aya za Qoran kwa ufupi itakuwa vichekesho
Sitaki kuanzisha mada mpya ya kama Yesu ni Mungu kwenye thread ya mtu inayohoji kama nyie Waislam mnaweza kuishi na jamii nyingine. Kama unataka nikujibu hilo swali anzisha huo uzi. Nitafurahi kukujibu huko. Acha huu uzi ustick kwenye lengo lakehayo ni mawazo yako na bado hujaleta hoja ya kupinga zile aya za kumfanya yesu ni mungu
Sitaki kuanzisha mada mpya ya kama Yesu ni Mungu kwenye thread ya mtu inayohoji kama nyie Waislam mnaweza kuishi na jamii nyingine. Kama unataka nikujibu hilo swali anzisha huo uzi. Nitafurahi kukujibu huko. Acha huu uzi ustick kwenye lengo lake
Tunawajua mnapenda sana kupanua magoli. Na mimi sitaenda unakotaka
Mbona umekuja kunijibu kuniambia nimetwist kama vile niliongeza neno langu , au nilianzisha uzi hapo ??
😛 😛
Uli quote hiyo verse nusu. Mimi nikakuwekea yote. Ulikuwa na nia ovuMbona umekuja kunijibu kuniambia nimetwist kama vile niliongeza neno langu , au nilianzisha uzi hapo ??
😛 😛
Nime quote nusu jee haikuthibitisha kuwa Yesu si Mungu ?? wewe uliye quote nzima ndiyo imemfanya Yesu kuwa ni mungu ?? hiyo nia yako nzuri iko wapi ??Uli quote hiyo verse nusu. Mimi nikakuwekea yote. Ulikuwa na nia ovu
Kaisome utaelwa.Nime quote nusu jee haikuthibitisha kuwa Yesu si Mungu ?? wewe uliye quote nzima ndiyo imemfanya Yesu kuwa ni mungu ?? hiyo nia yako nzuri iko wapi ??
Nilishaisoma na nikaona haina haja ya kuiweka nzima , au Yesu alikuwa akidanganya aliposema Mungu haonekani ??Kaisome utaelwa.
Soma tena vizuri.Nilishaisoma na nikaona haina haja ya kuiweka nzima , au Yesu alikuwa akidanganya aliposema Mungu haonekani ??
Soma tena vizuri.
Yohana 6:46
"Si kwamba mtu amemwona Baba, ila yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba."
Hivi Muhamad alipowafundisha mseme hakuna Mungu ila Allah? Alikuwa muongo? Alimaanisha kweli hakuna mungu?
Kwa wazazi wangu nimetoka. Na wazazi wangu nimewaona. Na sijawahi kumuona Mungu.ndiyo Yesu kaonekana hapo ndiye Mungu ??
Kwani wewe umetoka kwa nani ??
Kwa wazazi wangu nimetoka. Na wazazi wangu nimewaona. Na sijawahi kumuona Mungu.
Yesu kasema mwenyewe ametoka kwa Mungu na hivyo amemuona Mungu. Kipi hakieleweki?
Ulitaka niseme nimetoka wapi? Au wewe nawe umetoka kwa mungu kama Yesu?Nilijuwa utasema umetoka kwa wazazi wako , na wao walijitoa wenyewe ??
We ndiye kinakupiga chenga au hautaki kuelewa. Siwezi kukulaumu.kasema mwenyewe wapi ?? kiswahili kinakupiga chenga ?? isome tena hiyo aya
" ila yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba."
Ulitaka niseme nimetoka wapi?
We ndiye kinakupiga chenga au hautaki kuelewa. Siwezi kukulaumu.
Sahihi kabisa. Yeye Yesu kasema qazi ametoka kwa Mungu. Ni mwanadamu gani mwingine amewahi kudai katoka kwa Mungu?