Ndo maana tunasema kwa nn mama asitumie njia sahihi?
Yawezekana kuna libaba lingine lilikuwa linachangia ujenzi.
SO,you can conclude kwamba the woman HAS SACRIFICED HERSELF TO DEVIL FOR THE FAMILY'S SAKE!.....am i right?
umekula senksi karibu kila post zako zote!.....
kuwa mwili mmoja ni kigezo pekee cha kufanya mambo kimya kimya??????!
huyu mama aligundua tatizo kwa mumewe!kwanini hakutaka kuwashirikisha watu?aidha wazazi,walezi,viongozi wa dini n.k..au hata waajiri wake!
kwanini alichukua ushauri wa mashangingi wa saluni?
In criminal law, theft (also known as stealing or filching) is the illegal taking of another person's property without that person's freely-given consent. ...
So she wasnot stealing rather taking as they are one.
Kwenye red. If that mama was taking that money for bad intention it would sound so but swali la kizushi the soldier yeye alijisacrife kwa nani?
So she confessed she was searching someone else rather than her husband? In such a case, she MUST confess. Lakini kama alimsachi mme wake? NO WAY!you are getting the point now!....
this is what the woman did!In criminal law, theft (also known as stealing or filching) is the illegal taking of another person's property without that person's freely-given consent. ...
they are one?!!! in marriage point of view.mahakamani hakuna hili swalaSo she wasnot stealing rather taking as they are one.
wizi ni wizi to!hata ukiiba mamilioni ukayapeleka kanisani ni wizi tu!hata ukiiba ma bilioni ukawasaidia watoto yatima ni wizi tu....Kwenye red. If that mama was taking that money for bad intention it would sound so but swali la kizushi the soldier yeye alijisacrife kwa nani?
lakini yeye alikiri kwamba alikuwa anamuibia wakati amelewa!.....
hilo halikuhusu,as long as hukuwa makini na familia yako, kaa tulia tule ugali wa matembere na sukuma wiki...kama ikiwa hivyo ndio utahama?......wewe tulia wewe.
lakini yeye alikiri kwamba alikuwa anamuibia wakati amelewa!.....
unaongea mapoint ki****leo! nitafute kwa banta 2 badaeSijawahi kuona mke anamwibia mumewe! Ni sawa na kuhamisha hela mfuko wa kushoto kwenda wa kulia! Thats It! Mama alikuwa anachukua hela ZAKE! Kipato cha mme ni mali ya mke if yo knoo woram saying. Mi wife huwa anapekuaga wallet langu na kujisevia atakavyo ili mradi anibakishie za kutosha serengeti kadhaa na ndovu/taska kwa wapwa zangu. So long zinaenda kwenye matumizi SAHIHI, sioni kama kuna tatizo lolote!
give me the evidences of the bolded and coloured part!.......Lets get straight to the point. Huyu mama alikuwa anamsearch mtu mwingine au mme wake wa ndoa? No woman can steal from her husband. They are the same body and soul for God's sake!
hata kama limechangia so what? si kuna nyumba huyo baba kaepushwa kurudi nachingwea sijui kuzeeka na maisha ya kijini ambayo hajayazoea?Ndo maana tunasema kwa nn mama asitumie njia sahihi?
Yawezekana kuna libaba lingine lilikuwa linachangia ujenzi.
sasa ndo hapo tunapo kuja kuweka bayana mama alikuwa anatenda dhambi
unaongea mapoint ki****leo! nitafute kwa banta 2 badae
nipe msimamo wako nguli!.....wizi ni nini?they are one?!!! in marriage point of view.mahakamani hakuna hili swala(Geof)
Marriage is a social, religious, spiritual and/or legal union of individuals that creates kinship. This union may also be called matrimony
au
A status that, among other things, entitles a couple to file a joint income tax return. For the purpose of joint returns
wizi ni wizi to!hata ukiiba mamilioni ukayapeleka kanisani ni wizi tu!hata ukiiba ma bilioni ukawasaidia watoto yatima ni wizi tu....(Geof)
Ukichukua kifaa chochote nyumbani kwenu bila ruhusa then later on uka wa inform kwa nini ulichukua ulikifanyia nini na kwa manufaa ya nani je huo ni wizi?
give me the evidences of the bolded and coloured part!.......
hata kama limechangia so what? si kuna nyumba huyo baba kaepushwa kurudi nachingwea sijui kuzeeka na maisha ya kijini ambayo hajayazoea?