Safi sana mama,Yani akili sio lazima uende shule uwe na ma-PHD.Huu ni mfano mzuri wa kuigwa.Nafikiria nianze kuapply maana hizi location za Counter zimezidi.
niambie kisheria huyo baba amefanya dhambi gani??????!!!!...
hata kama limechangia so what? si kuna nyumba huyo baba kaepushwa kurudi nachingwea sijui kuzeeka na maisha ya kijini ambayo hajayazoea?
hata kama limechangia so what? si kuna nyumba huyo baba kaepushwa kurudi nachingwea sijui kuzeeka na maisha ya kijini ambayo hajayazoea?
mwenye dhambi hi hilo li baba.....
Halafu huyo mama amemuongezea huyo baba hata siku za kuishi.Maana angerudi Nachingwea tu bac kwishney huyo,niagieni!
Yes you can,unaweza mpeleka mtu mbele ya mahakama kwa hayo makosa?!.......
Hiyo sio kuiba alikuwa anahamishia upande wa pili si mwili mmoja!!!!? Nachingwea hawaendi ng'ooo, Madheri alikuwa akili kumkichwa, safi sana.UNGEIBA?!
god forbid!........
shemeji naona unazungumzia MATOKEO YA ULEVI,NA PENGINE UZINZI (tena kwa wasiokuwa makini)!........ambayo hupelekea mtu kutotimiza wajibu wake kwa familia.Yes you can,
Chini ya kifungu cha sheria ya kushindwa kutunza mke na watoto sheria ndogo ya idara ya ustawi wa jamii na maendeleo ya wanawake na watoto.
yeye alikiri kaiba sasa!labda uniambia ni WIZI MWEMA!.....wanawake wangapi tumewaona wakiwaibia waume zao jamani!......mbona hili swala halieleweki?Hiyo sio kuiba alikuwa anahamishia upande wa pili si mwili mmoja!!!!? Nachingwea hawaendi ng'ooo, Madheri alikuwa akili kumkichwa, safi sana.
nipe msimamo wako nguli!.....wizi ni nini?
je,mkeo hawezi kukuibia?
shemeji naona unazungumzia MATOKEO YA ULEVI,NA PENGINE UZINZI (tena kwa wasiokuwa makini)!........ambayo hupelekea mtu kutotimiza wajibu wake kwa familia.
NAULIZA HIVI,unaweza mpeleka mtu mahakamani kwa ulevi tu?au uasherati?au uzinzi?
Ushahidi gani ulio mkubwa zaidi ya mtuhumiwa kukiri kwamba ni kweli alikuwa anasachi waleti kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo?Na hata mahakamani huwa hawahukumu mtu bila ushahidi wa matendo aliyofanya mpaka kufikia kwenye matokea ya yeye kuwepo mahakamani.
Ushahidi gani ulio mkubwa zaidi ya mtuhumiwa kukiri kwamba ni kweli alikuwa anasachi waleti kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo?
niambie kisheria huyo baba amefanya dhambi gani??????!!!!...
mpwa,Geof umeokoka?
Hivi kitendo cha kuchukua mali iwe pesa ya baba ako au mama ako bila kumtaarifu si kosa?
Alivyokiri kaiba kachemka, mie sijaona uwizi hapo, ameokoa jahazi. pesa iliyotumika kujenga hiyo nyumba ni ya mume wake kihalali, hakuna attached strings.yeye alikiri kaiba sasa!labda uniambia ni WIZI MWEMA!.....wanawake wangapi tumewaona wakiwaibia waume zao jamani!......mbona hili swala halieleweki?
Hivi kitendo cha kuchukua mali iwe pesa ya baba ako au mama ako bila kumtaarifu si kosa?