Huyu Mwanamke ni mwenyebusara sana..Really i appreciate to what she did, otherwise hali ya family ingekuwa mbaya ajabu!
Woote mmeongea sana matukio ya kwanza, lakini hili tukio la mwishoni la Mama kuchukua pango la nyumba yake, ndo linaniacha hoi!
Alikuwa akipeleka wapi hizi hela (600,000/=pm)? au ndo hizo walikuwa wakila?
By the way, hali hii ni kawaida sana katika majumba yetu...Mama unampa hela za bajeti ya msosi, yeye anatumia nusu, na zingine anacheza kibati, ambapo unakuta in one way or another mnaweza mkafaidi wote hizo hela za kibati tena...!
Hii ni complex situation, ambayo inamtegemea sana mtendewa anatafsiri vipi haya mambo...Vinginevyo mtu mwingine anakuondoa, hata kama umejenga bangaloo gani, bora lawama kuliko fedheha!