Uku kunakaribia kucha Mama.Ulale salama mkuu [emoji120]
Huku bongo usiku bado haujafika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uku kunakaribia kucha Mama.Ulale salama mkuu [emoji120]
Huku bongo usiku bado haujafika.
Hicho ndiyo huwa kisingizio chenu eti unauza! Nyie toeni hela bwana we vinavyouzwa mnavijua?Unauza? [emoji15]
AmuHata mwanamke anaweza kukaa na broke man.
Provided mwanaume anajitambua na anatafuta.
Akiwa na ana buku inaonekana, akiwa na 20,000 inaonekana.
Huyu hata akiwa na dollar 20,000 pia itaonekana.
Ukimkuta mwanamke wako ni broke ni jukumu lako kama mwanaume kumuwezesha.
Duniani Tu MAMAOh
Wapi huko mkuu???
Ulale salama
OwkeyDuniani Tu MAMA
Eeee eeeeeeeeDating yangu si ya kuzini
Halafu akinisaliti naachana naye
Uchumba si ndoa.
Umeona eenh. Unajifanya mtakatifu hauombi hela kumbe mwenzio anakuona bwege anakusaliti na bado anahonga kwingine.Bora useme.
Namuambia St Ann bora ulie na maumivu ya usaliti tu kulilo maumivu double double.
HaswaaaaKutokumuomba pesa mwanaume ni kumdumaza.
Kujisimamia tunaweza ila huwa tunafanya makusudi tu maana naona siku hizi tumeamua kukomoanaHivi ni lazima uwe dependent kwa mwanaume wako? Kwamba wewe kama wewe hauwezi kujisimamia? shida ya wanawake wengi hawana Financial Freedom
Nakuzingua bana hapa nilipo hivi sasa ni sa11:31:12 EDT, Saturday, 13 June 2020Owkey
Sawa
Mungu akulinde,,, Ulale salama [emoji120]
Kama hela nnayo yani hata siwazii pesa yako.. ukinipa ntashukuru, usipotoa freshh pia.Na asipokupa unajiskiaje? Unajiskia kuonewa au unaona normal tu? Je unajiskia kama kutotimiziwa mahitaji yako muhimu? Funguka.
Mwanaume anampenda mpenzi wake ni yule anatamani kumuona akisimamia mwenyewe bana 🙂 😀Kujisimamia tunaweza ila huwa tunafanya makusudi tu maana naona siku hizi tumeamua kukomoana
Daaaaah kuna mahali wanawake mnatutesea sana shauri yenu bana, ts a matter of time 😉😉😉😉Kama hela nnayo yani hata siwazii pesa yako.. ukinipa ntashukuru, usipotoa freshh pia.
Ila kama sina hyo ni story ingine... Ila atanaivo pia sikuombii.
Haya mambo ya kusema ataenda kujibu kwa Mungu unajuaje labda atakuja kutubu kabla hajafa hivyo atasamehewa. Mimi kwa kweli kabla hajafika kwa Mungu lazima nimnyooshepo kidogo.Mimi Naamini yupo ambaye si msaliti..kama atanisaliti ataenda kujibu mbele za Mungu.
Mdogo angu nadhani utakuwa umebaki peke akoBinafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliAnaenda kujibu wapi? Wakati tumekatazwa tusizini? Kesi ya mapenzi tunamalizaga hapa hapa duniani.
Oh sawa.. akhsante kwa kunizingua[emoji3526].Nakuzingua bana hapa nilipo hivi sasa ni sa11:31:12 EDT, Saturday, 13 June 2020
Eti ndiyo "sitaki". Imagine mwanaume mzima anaandika hivyo."6ki" ndo nini jamani mnaniacha njia panda.