Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Hata mwanamke anaweza kukaa na broke man.
Provided mwanaume anajitambua na anatafuta.

Akiwa na ana buku inaonekana, akiwa na 20,000 inaonekana.
Huyu hata akiwa na dollar 20,000 pia itaonekana.

Ukimkuta mwanamke wako ni broke ni jukumu lako kama mwanaume kumuwezesha.
Amu
Kwa mwanamke kukaa na mwanaume ambae ni broke toally ni wachache sana and ts Depends on HOW LONG he is broke, WHY he is broke and if he has something coming in the IMMEDIATE future with proof. Sisi wanaume wenye hofu na Mungu Tunaamini kwamba Everyone goes through hard times here and there
 
Bora useme.
Namuambia St Ann bora ulie na maumivu ya usaliti tu kulilo maumivu double double.
Umeona eenh. Unajifanya mtakatifu hauombi hela kumbe mwenzio anakuona bwege anakusaliti na bado anahonga kwingine.

Laiti kama wanaume wenye MAPENZI YA KWELI wangekuwepo angalau tungewaonea huruma ila kwa vile hawapo hawa wengine ni mwendo wa kukomoana tu. Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Mimi Naamini yupo ambaye si msaliti..kama atanisaliti ataenda kujibu mbele za Mungu.
Haya mambo ya kusema ataenda kujibu kwa Mungu unajuaje labda atakuja kutubu kabla hajafa hivyo atasamehewa. Mimi kwa kweli kabla hajafika kwa Mungu lazima nimnyooshepo kidogo.
 
Back
Top Bottom