Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumwachia kila kitu Mungu ni uzembe, kwani akili alikupa za kuvukia barabara tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ndio hapo sasa
 
Mwanaume asietoa pesa yaani hata samaki wa mapambo wana unafuu kuliko yeye.
 
Kusema kweli mimi siwezi kuwa na mwanaume asiyenipa pesa iwe kwa kutoa mwenyewe au kwa kumuomba.
Siwezi kabisaaaa kwanza advertise zangu utaniacha mwenyewe.
Ukipenda pesa hakikisha na wewe pia uwe na uwezo wa kuitafuta hyo pesa tu.
 
Reactions: amu
Mwanaume asietoa pesa yaani hata samaki wa mapambo wana unafuu kuliko yeye.
Kwanza anawezake kutoa sauti ya base?
Huwa nampenda rafiki yangu mmoja wa kiume ananiambiaga "amu nikiwa sina pesa siwezi kuwa na mahusiano" nikiwa na pesa nakamata mdada mmoha mkaliiiii sana.

Huyu ni mwanaume anajua maana sahihi ya mwanaume.
 
Sasa ukute anayedate naye ni baharia mstaafu na sasa hivi anatype katika Uzi wa kimasihara.....
 
Sasa ukute anayedate naye ni baharia mstaafu na sasa hivi anatype katika Uzi wa kimasihara.....
Life is not fair [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…