Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumwachia kila kitu Mungu ni uzembe, kwani akili alikupa za kuvukia barabara tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ndio hapo sasa
 
Hivi mwanaume anayetoa hela unaanzaje kumuacha?

Unaanzaje kuwa mkaidi kwake? Unaanzaje kumpimia kumpa bumunda?

Unaaanzaje kutokumsuprize na msosi wa maaana na kuona kitu kizuri kumnununulia?

Mwanaume anayetoa hela ni dhambi sana kumnunia.
Mwanaume akija au ukitembea nae kila mtu anajua huyu ni mwanaume hata yeye anajiamini kifua mbele anatembea na mkono amemshika mwanamke wake.
Mwanaume asietoa pesa yaani hata samaki wa mapambo wana unafuu kuliko yeye.
 
Kusema kweli mimi siwezi kuwa na mwanaume asiyenipa pesa iwe kwa kutoa mwenyewe au kwa kumuomba.
Siwezi kabisaaaa kwanza advertise zangu utaniacha mwenyewe.
Ukipenda pesa hakikisha na wewe pia uwe na uwezo wa kuitafuta hyo pesa tu.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mwanaume asietoa pesa yaani hata samaki wa mapambo wana unafuu kuliko yeye.
Kwanza anawezake kutoa sauti ya base?
Huwa nampenda rafiki yangu mmoja wa kiume ananiambiaga "amu nikiwa sina pesa siwezi kuwa na mahusiano" nikiwa na pesa nakamata mdada mmoha mkaliiiii sana.

Huyu ni mwanaume anajua maana sahihi ya mwanaume.
 
Dah kuna wanaume wanabahati just imagine kuna baharia anamiliki mtoto kama huyu mwenye hekima kama hizi dah, wewe dada kama bado hujaingia kwenye serious relationship Mungu akusaidie upate mume bora mwenye positive mind kama ulokuepo nayo, wote tuseme “AMEN”
Sasa ukute anayedate naye ni baharia mstaafu na sasa hivi anatype katika Uzi wa kimasihara.....
 
Back
Top Bottom