Can you date a guy without asking him for Money?

Inapokuwa ili uwe naye lazima atoe hela, hapo ni jambo jingine... lakini kama hela si kipaumbele, hiyo siyo biashara
 

Sasa jaman wasubiri mpaka ndoa ndio matusi yafanyike ama mwaonaje
 
Hivi we mtu Kiswahili si unakijua vizuri tu?
Hata uandike kijerumani ila inatakiwa utoe pesa bwana we. Acha kudumaa mwisho utaanza kujitafuta wakati its too late.
 
Mwe jukumu=lazima...... Tunatengeneza jamii ya ajabu.
Jamii isiyokuwa ya ajabu ni kuwa na wanaume wasio jua majukumu?

Unamiliki mwanamke hushtuki kwa lolote.

Hata mwanamke ambae humpi pesa na hakuombi huwa anaumia sana tu na analalamika anashindwa kukwambia.

Akitokea mwanaume mwingine anampenda na kumhudumia au kumboost kidogo unaachwa saa 6 mchana jua kali la utosini.
 
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…