Tatizo wanawake wa siku hizi mnaomba hela bila kuangalia hali ya mwenza wako.Mtakuta mmeanza vizuri mwenzi wako yy level zake za kuhonga ni tecno,itel nk.
Sasa tatizo linakuja siku akisikia rafiki yake kaongwa iphone au sumsung na yy nae anataka kama hiyo wakati anajua mwenza wake kwa hali yake ya sasa ni Tecno.
Kwa kifupi mnatamaa na si kwamba wanaume hawaongi wanaonga ila mnapenda kuishi maisha ya watu wengine lkn na si yale yanayoendana na kipato cha mwenzako,wakati mwamzo ulistahimili.
Alafu basi kuna wanawake wengine hawana hata mawazo tu (si hela),yakumsaidia mwenzi wake kuongeza kipato.Kila siku yeye "naomba......naomba.....naomba",yaani yy anaamini K ndio silaha ya kupata na siku ukiteteleka kiuchumi ndio basi si wako.