Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Jael naomba unipumzishe..
Nimecheka Sasa inatosha[emoji119]


Zoë
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anne ungekuwa unaishi na jael nyumba moja nahisi wangekuwa wameshakuzika kwa kuharibikiwa mbavu na bandama, maana siyo kwa kucheka huko.
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Imebidi nikafungue mlango nihakikishe kama sioti, we naanzaje mimi jamani? Nitaharisha hadi utumbo. Mwanaume una matatizo makubwa sana wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yesu Kristo
 
Try to build trust, respect to each other, it drives the relationship, not the money or wealth, they are also required to lead a good life but not to build a strong love relationship.
Yaani una matatizo makubwa Chris
1. Hutoi pesa
2. Vingereza
3. Nk.

Sasa hapo ndio umemaanisha utalipia au mimi ndio nitalipia?
 
Mkuu mbona hata ninyi huwa mnataka mchezo bila kuangalia hali za wenzenu. Mtu bila aibu anabwabwaja eti mie mwanamke angalau anipe mara tano kwa wiki hapo hujamuoa wala huna mpango wa kumuoa hebu niambie kwanini asikuchune.
Kimsingi mimi nataka mkewng au mpenzi wangu awe ananipa kwa siku mara3, isishuke chini ya hapo
 
Mwanamke akiniomba pesa namchukulia tofauti kabisa....

Mimi sio kipofu nitaona ukihitaji pesa...ukiniomba unaniambia sijui unapopatwa na tatizo na kuna tafsiri nyingine ambayo ipo kichwani mwangu hata kuiandika siwezi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anne ungekuwa unaishi na jael nyumba moja nahisi wangekuwa wameshakuzika kwa kuharibikiwa mbavu na bandama, maana siyo kwa kucheka huko.
Yaani mwenzio naangua kicheko
Kitu kikinichekesha siwezi vumilia..

Huku huwa naangua kicheko hadi natokwa na machozi

Huyu dada anaweza kunitoa roho kwa kicheko
 
Teh haya wenye migodi yenu mnayoichimba mnavyojisikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] yaani nacheka Kama kichaa
Hapa kantwe bado hajakanyaga humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom