Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Mwanamke akiniomba pesa namchukulia tofauti kabisa....

Mimi sio kipofu nitaona ukihitaji pesa...ukiniomba unaniambia sijui unapopatwa na tatizo na kuna tafsiri nyingine ambayo ipo kichwani mwangu hata kuiandika siwezi.
Hiyo tafsiri sasa ni matatizo binafsi. We toa pesa bwana achana na matafsiri yatakuondoa kwenye lengo jema kabisa.
 
Nikimeze kinini? Halafu mtu mwenyewe unaeza kuta ni kibungo hatari,halafu kutwa kucha kujishaua humu ndan[emoji57][emoji57]
Wow kumbe najishaua? Mie kibungo tena haswa vipi kwani ulishawahi kufuma comment yangu humu niliyosema mie mzuri?

Halafu subiri kwanza kumbe huwa mnataka wanawake wazuri tu ndiyo wawe wanawakosoa humu ndani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
 
Yaani mwenzio naangua kicheko
Kitu kikinichekesha siwezi vumilia..

Huku huwa naangua kicheko hadi natokwa na machozi

Huyu dada anaweza kunitoa roho kwa kicheko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wow kumbe najishaua? Mie kibungo tena haswa vipi kwani ulishawahi kufuma comment yangu humu niliyosema mie mzuri?

Halafu subiri kwanza kumbe huwa mnataka wanawake wazuri tu ndiyo wawe wanawakosoa humu ndani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
We mazoea hebu nenda kasonge ugali bhana! Me wanawake wa jf nawajua 95% vibungo humu ndan
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] yaani nacheka Kama kichaa
Hapa kantwe bado hajakanyaga humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona eenh, na tuttyfruity angekuwepo hapa haki ya nani hawa wakaka wangeporomosha matusi kwa kupanic yule dada hapana kuna fuse zilishaachia kichwani.
 
Back
Top Bottom