Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Kwa hyo hapo unajikuta umewiiin mwenyewe kwa kuzaliwa na mtaji tayari?

Sawa tu fainali uzeeni mkifika 30+ mnasaka ndoa kwa nguvu had mitandaoni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We tafuta pesa bwana we, na raha ya pesa ni matumizi. Ukishazipata usisahau kumpa na baby jamani. Sawa mtoto mzuri?
 
Unafikiri dunia yako hii Ngalikihija? Unaweza shangaa hao unaowaongelea ndio hao wasoomba hata mia. Mungu sio Ngalikihija bwana, anatenda kwa namna za ajabu sana. Hao unaowalalamikia ndio hupata wanaume haswaa. Njoo sasa upande wa pili ni full "mfurugano"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Imebidi nikafungue mlango nihakikishe kama sioti, we naanzaje mimi jamani? Nitaharisha hadi utumbo. Mwanaume una matatizo makubwa sana wewe.
Nimependa sana Jibu Lako, Una majibu yenye heshima na hekima ndani yake, uwe na siku njema Jael, Ngoja niende Lunch mda Huu ila Karibu sana.
 
Yaani acha kabisa, we hujawahi ona yule mwanamke unayesema hat abure humtaki anapata booonge la mwanaume. Na wife material anakutana na akina Marichris [emoji134][emoji134]
Inatosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Jael naomba unipumzishe..
Nimecheka Sasa inatosha[emoji119]


Zoë
Ngoja nikalale mwaya, labda kesho asubuhi nitakutana na msg ya Mpesa.

Usiku mwema dear.
 
Tatizo wanawake wa siku hizi mnaomba hela bila kuangalia hali ya mwenza wako.Mtakuta mmeanza vizuri mwenzi wako yy level zake za kuhonga ni tecno,itel nk.

Sasa tatizo linakuja siku akisikia rafiki yake kaongwa iphone au sumsung na yy nae anataka kama hiyo wakati anajua mwenza wake kwa hali yake ya sasa ni Tecno.

Kwa kifupi mnatamaa na si kwamba wanaume hawaongi wanaonga ila mnapenda kuishi maisha ya watu wengine lkn na si yale yanayoendana na kipato cha mwenzako,wakati mwamzo ulistahimili.

Alafu basi kuna wanawake wengine hawana hata mawazo tu (si hela),yakumsaidia mwenzi wake kuongeza kipato.Kila siku yeye "naomba......naomba.....naomba",yaani yy anaamini K ndio silaha ya kupata na siku ukiteteleka kiuchumi ndio basi si wako.
Mkuu mbona hata ninyi huwa mnataka mchezo bila kuangalia hali za wenzenu. Mtu bila aibu anabwabwaja eti mie mwanamke angalau anipe mara tano kwa wiki hapo hujamuoa wala huna mpango wa kumuoa hebu niambie kwanini asikuchune.
 
Ngoja nikalale mwaya, labda kesho asubuhi nitakutana na msg ya Mpesa.

Usiku mwema dear.
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu mbona hata ninyi huwa mnataka mchezo bila kuangalia hali za wenzenu. Mtu bila aibu anabwabwaja eti mie mwanamke angalau anipe mara tano kwa wiki hapo hujamuoa wala huna mpango wa kumuoa hebu niambie kwanini asikuchune.
Point umeilewa kweli.............
 
Aaah wifi usinifanyie hivi. Hivi huna kaka mtoaji mzuri umwambie mke mwema nipo hapa?
Yupo akikuona hakika atafurahi sana. Ila nitamtaarifu tu kuwa ajiandae kisaikolojia maana huyo mke wake mtarajiwa kwake pesa mbele kama mfuko wa shati.
 
Back
Top Bottom