Can you date a guy without asking him for Money?

Unaweza kuta ni yule mswisπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umetufukuzia "muingeleza" wetu.
Alikuwa anajitafutia maujiko kwa kitu kisichochake.
Na mbaya zaidi bora angekuwa upande wa tunaoomba hela. Yaani anatukandia?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anadhani atabaki salama akigusa hii "kamati"?
 
Utakapojisikia
Safi kabisa, kulingana na wachingiaji jinsia yako, inaonekana ya kuwa jukumu la kutoa hela ni la wanaume kwenda kwenu nyinyi wanawake/wasichana ? Kwanini katika kutoa hela jukumu lina kuwa letu sisi ila katika mengine huwa mnataka tufanane ? Hili ni kwa mujibu wa ada na desturi au mmekuta hali iko hivyo ?
 
Unajua nimecheka sana na kuita Didi.
Anadai ni kispaniola sijui kinininiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1]naona huko aliko hata mwenyewe anajicheka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kichaga cha marangu hicho asituchoshe hapa.
Ila Hannah ni konyooo, sikutegemea mtoa mada kuukimbia uzi wake jamani.
 
Yepi ambayo tunataka tufanane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…