Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Hannah. Ni app gani hii kama hutojali?Hivi unajua kuna app ukicopy na kupest tuu inaonekana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hannah. Ni app gani hii kama hutojali?Hivi unajua kuna app ukicopy na kupest tuu inaonekana?
Hii tabia inanikera kinoma! Yani ulivyoongelea mchezo umentibua nyongo balaa. Hivi hii michezo yenu mnayojiingiza huko ikiwa mnajua kazi hamna za kufanya mnatarajia hela za michango tuwatolee sisi how comes. Umejiandikisha kibati ulipe 10k kila siku halafu kazi ya kukupa hio elfu 10 tu huna.Sasa ninashida nimebanwa labda nacheza mchezo nimezungushwa nadaiwa kodi unategema nifanyaje?
Na baby yupo.
Ni kudraft tu maombi.
Asee wewe atakaekuoa atafaidi sana kama ni kweli huko kama unavyojinadi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo unataka kuniambia ni swala la muda tu???
Ila Mimi sidhani kabisa
Hadi sasa nimepitia mengi..misukosuko mingi Sana lakini kuomba hela sijawahi.
Hata nikitoka hapa sidhani kama nitaweza aiseee
Brevis inakunywa mafuta kama kichaa lakini ndani inakupa comfortability ya kibabe sanaHuyo Zoe kama gari basi ni brevis 🤣🤣🤣!!! Sihitaji kuelezea zaidi my frendiiii!
And thats the moment when he knew she fucked up 🤣🤣🤣Nilishakua na manzi type yako yan yeye haniombi pesa kamwe adi nijiongeze mwenyewe sometimes anakataa hela yenyewe, ananiambia yohimbe wewe bado unasoma nikikuomba hela kama nakuonea tuu coz huna source yoyote ya kipato after all mimi nimekupenda ww sijapenda pesa, ukipata kazi utanisaidia nitakapo kwama.Tatizo lake alikua hatoi papuchi ananiambia atanipa mpk akimaliza chuo ndo malengo alojiwekea coz alikua bado bikra ndo sababu ya mm kuachana nae F wangu
Sasa unajiongeza tu, kama kwenda sheli kupasuka deile its worth it kwa level yako ya maisha unakomaa!Brevis inakunywa mafuta kama kichaa lakini ndani inakupa comfortability ya kibabe sana
Kutumia hela zetu aliosema tunapenda nani? 🤣🤣🤣 We unafikili huu uzi ungeanzishwa hapa kama kuna swala la ufahari???Kweli kabisa, hela zao tamu sana. Watupatie tu na watabarikiwa[emoji1787]
Hahaha kama anayo sawa ila kama nae hana mchongo vipi?Nimuonee aibu mwanaume ambae ananibinjua? Nina shida na yeye yupo? Hata hela ya kula kuku kama sina namuambia vizuri tu.
kwa makusudi umeamua kuwajaza wenzako ujinga.Mwanaume asiyekupa hela na wewe humuombi amini kuna sehemu anapeleka.
Wanaume wanaona fahari sana tukitumia hela zao.
Hata hawaumii huwa wanaona fahari sana nyie tu hamjui.
[emoji3]
Kudumu ni ngumu maana imekuwa pussy money chase game. You spill some cash you get to her thighs. Melt that pretty round thing then you look for the next prey!@ Jael Why would u ask for money from a guy u’re dating for the first site or always? Do u need a loan or do u just want money from him? I don’t think either is a good choice aseeeeeh, ndio maana siku hizi mahusiano ya wadada na Vijana hata hayadumu.
Usiseme tusisingizie wakati ndio uhalisia. Nyie mko after money ndio maana hata uaminifu ni 0!Msisingizie mahusiano hayadumu kisa kuombwa hela bwana we!! We ukishindwa kuendesha mahusiano yako ni wewe tu usisingizie mambo madogo ambayo hayahusiani.
Ila mr ingilishi kwanini nawe usubiri kuombwa? Si utoe tu?
Yeah, hii ndio definition ya love is a two way traffic na binafsi naheshimu sana mwanamke ambaye she is ready to spend her money on me. Yani sio tutumie zangu tu ila na yeye ajitoe kwa ajili yangu. Huwa nampenda head over heels mwanamke wa namna hii!Warembo let's be honest here...Huyo anaekupa hela siku mkiachana lazima utalazimika kuwa na mwingine mwenye hela ili uendelee kuwa na life style unayotaka....sasa inatofauti gani na kujiuza??? (Samahanini kama nitawakwaza)
Halafu mahusiano ya kupewa hela hayakupi uhuru; utashindwa kuwa na maamuzi , atakutumia anavyopenda mbaya zaidi atakunyanyasa au kukudhalilisha kwasabu amekununua.
Raha ya mahusiano in my opinion ni kupanda zawadi akupe na wewe umpe.Suala la hela ni pale ukikwama akusaidie na wewe akwama mpe.
Maybe I'm too old school ila siwezi kukubali mwanaume ninae mpenda anipe hela ili kununua upendo wangu.
Mimi even if we go for a date we'll split the bill if we have to!
Sent using Jamii Forums mobile app
Whats the point of dating kama you won't give her the pussy.Nae anaweza date na mimi with out asking pussy?
Mie tu ndio napendaSiku hizi hakuna wanaume wanaopenda bhana tusidanganyane
Mimi hapa my dia! Yani naogopa hata kuelezea 😎Unajua definition ya mwanaume anayependa? Mwanaume anayependa ni yule asiyesaliti hata kwa bahati mbaya yaani ana mwanamke mmoja tu!
Acheni hizo story zenu za kwenye vijiwe vya kahawa eti mwanaume anaweza akamsaliti mkewe na bado akampenda hizo ni sababu tu za kuhalalisha umalaya! Haya je dunia hii yupo mwanaume rijali ambaye ana mwanamke mmoja tu?
Mapenzi ya kweli yapo hata kwangu ila ukiacha tabia ya kutanguliza hela mbele..Ntakuvumilia hata kama una sura kama BF Goodrich na huna tako usijali ila njaa njaa ndio sitaki. Sawa mrembo???😎Msimamo wangu uko pale pale kuwa siku hizi hakuna mapenzi ya kweli. Kama ambavyo wanaume huwa mnaangalia sura na matako kwa wanawake (utadhani wamejiumba) basi acheni na wanawake waangalie pesa na vingine wanavyovijua wao kwa wanaume maana vyote hivyo siyo vigezo vya mtu kuwa mke mwema wala mume mwema.
Corner Bar ni mahali salama kwa Afya yako.Kusema kweli mimi siwezi kuwa na mwanaume asiyenipa pesa iwe kwa kutoa mwenyewe au kwa kumuomba.
Siwezi kabisaaaa kwanza advertise zangu utaniacha mwenyewe.
Hii ndio ile boss hanuniwi au sio?🤣🤣🤣Hivi mwanaume anayetoa hela unaanzaje kumuacha?
Unaanzaje kuwa mkaidi kwake? Unaanzaje kumpimia kumpa bumunda?
Unaaanzaje kutokumsuprize na msosi wa maaana na kuona kitu kizuri kumnununulia?
Mwanaume anayetoa hela ni dhambi sana kumnunia.
Mwanaume akija au ukitembea nae kila mtu anajua huyu ni mwanaume hata yeye anajiamini kifua mbele anatembea na mkono amemshika mwanamke wake.