Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Sasa ninashida nimebanwa labda nacheza mchezo nimezungushwa nadaiwa kodi unategema nifanyaje?
Na baby yupo.
Ni kudraft tu maombi.
Hii tabia inanikera kinoma! Yani ulivyoongelea mchezo umentibua nyongo balaa. Hivi hii michezo yenu mnayojiingiza huko ikiwa mnajua kazi hamna za kufanya mnatarajia hela za michango tuwatolee sisi how comes. Umejiandikisha kibati ulipe 10k kila siku halafu kazi ya kukupa hio elfu 10 tu huna.

There was a day bibie alikua ana introduce hio topic nilimkatisha kama umeme. Hana kazi kwa sasa hizo stress anataka ampe nani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo unataka kuniambia ni swala la muda tu???

Ila Mimi sidhani kabisa
Hadi sasa nimepitia mengi..misukosuko mingi Sana lakini kuomba hela sijawahi.

Hata nikitoka hapa sidhani kama nitaweza aiseee
Asee wewe atakaekuoa atafaidi sana kama ni kweli huko kama unavyojinadi.

Kiukweli wanawake wasio omba hela wengi wao huwa ni keepers! Ni wavumilivu mno by nature na hata katika misukosuko ya mahusiano wana hold better zaidi tofauti na wale wanaotangaza njaa mapema. Hili naongea kwa uzoefu sasa wewe jifanye kubisha.

Wale wapenda hela reliability yao ni ndogo sana, hata ukiwaoa ikitokea umelost kidogo ni rahisi sana jamaa zako kuku+ombe@!
 
ndiyo, maana sio kwamba ukiwa kwenye mahusiano ndo kwamba mwanaume ageuzwe atm vipo vingi vya thaman zaid ya hela kwenye mahusiano
 
Nilishakua na manzi type yako yan yeye haniombi pesa kamwe adi nijiongeze mwenyewe sometimes anakataa hela yenyewe, ananiambia yohimbe wewe bado unasoma nikikuomba hela kama nakuonea tuu coz huna source yoyote ya kipato after all mimi nimekupenda ww sijapenda pesa, ukipata kazi utanisaidia nitakapo kwama.Tatizo lake alikua hatoi papuchi ananiambia atanipa mpk akimaliza chuo ndo malengo alojiwekea coz alikua bado bikra ndo sababu ya mm kuachana nae F wangu
And thats the moment when he knew she fucked up 🤣🤣🤣
 
Kweli kabisa, hela zao tamu sana. Watupatie tu na watabarikiwa[emoji1787]
Kutumia hela zetu aliosema tunapenda nani? 🤣🤣🤣 We unafikili huu uzi ungeanzishwa hapa kama kuna swala la ufahari???
 
Nimuonee aibu mwanaume ambae ananibinjua? Nina shida na yeye yupo? Hata hela ya kula kuku kama sina namuambia vizuri tu.
Hahaha kama anayo sawa ila kama nae hana mchongo vipi?
 
Mwanaume asiyekupa hela na wewe humuombi amini kuna sehemu anapeleka.
Wanaume wanaona fahari sana tukitumia hela zao.
Hata hawaumii huwa wanaona fahari sana nyie tu hamjui.
[emoji3]
kwa makusudi umeamua kuwajaza wenzako ujinga.
 
K
@ Jael Why would u ask for money from a guy u’re dating for the first site or always? Do u need a loan or do u just want money from him? I don’t think either is a good choice aseeeeeh, ndio maana siku hizi mahusiano ya wadada na Vijana hata hayadumu.
Kudumu ni ngumu maana imekuwa pussy money chase game. You spill some cash you get to her thighs. Melt that pretty round thing then you look for the next prey!

Na hii ni standard ambayo wameiset wanawake wenyewe.

Enzi zetu zile miaka ya 90 people used to be genuine. Utamtaka mwanamke itamchukua muda ila atakukubalia without doing any favours for her. Mtadumu hadi kuoana kabisa. Sio leo bro! Pesa ndio Visa!
 
Msisingizie mahusiano hayadumu kisa kuombwa hela bwana we!! We ukishindwa kuendesha mahusiano yako ni wewe tu usisingizie mambo madogo ambayo hayahusiani.

Ila mr ingilishi kwanini nawe usubiri kuombwa? Si utoe tu?
Usiseme tusisingizie wakati ndio uhalisia. Nyie mko after money ndio maana hata uaminifu ni 0!
Hujui hata athari za hio tabia ya tamaa za pesa?
 
Warembo let's be honest here...Huyo anaekupa hela siku mkiachana lazima utalazimika kuwa na mwingine mwenye hela ili uendelee kuwa na life style unayotaka....sasa inatofauti gani na kujiuza??? (Samahanini kama nitawakwaza)
Halafu mahusiano ya kupewa hela hayakupi uhuru; utashindwa kuwa na maamuzi , atakutumia anavyopenda mbaya zaidi atakunyanyasa au kukudhalilisha kwasabu amekununua.
Raha ya mahusiano in my opinion ni kupanda zawadi akupe na wewe umpe.Suala la hela ni pale ukikwama akusaidie na wewe akwama mpe.
Maybe I'm too old school ila siwezi kukubali mwanaume ninae mpenda anipe hela ili kununua upendo wangu.
Mimi even if we go for a date we'll split the bill if we have to!


Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, hii ndio definition ya love is a two way traffic na binafsi naheshimu sana mwanamke ambaye she is ready to spend her money on me. Yani sio tutumie zangu tu ila na yeye ajitoe kwa ajili yangu. Huwa nampenda head over heels mwanamke wa namna hii!

It really drives me nuts nikiwa na mwanamke very open and mwenye rich heart. Ni ngumu sana mwanamke wa aina yako kuwa na roho ya kibinafsi ile ambayo ni major turnoff kwa wanawake wengi wa kileo.
 
Nae anaweza date na mimi with out asking pussy?
Whats the point of dating kama you won't give her the pussy.

You guys are just confusing matters. Dating is natural kwa wanyama na hata binaadamu. Main point ya ku date ni kutengeneza genetic bonds kupitia sexual interaction.

Hizi pesa ni medium of exchange kibiashara. Sasa sielewi connection ya pesa na dating inakujaje. Unless otherwise pussy iwe moja ya commodities zinazothaminishwa na pesa and that being said all women with your kind of thinking should be identified as Sluts. Huu ni ujinga ambao must come to an end!
 
Unajua definition ya mwanaume anayependa? Mwanaume anayependa ni yule asiyesaliti hata kwa bahati mbaya yaani ana mwanamke mmoja tu!

Acheni hizo story zenu za kwenye vijiwe vya kahawa eti mwanaume anaweza akamsaliti mkewe na bado akampenda hizo ni sababu tu za kuhalalisha umalaya! Haya je dunia hii yupo mwanaume rijali ambaye ana mwanamke mmoja tu?
Mimi hapa my dia! Yani naogopa hata kuelezea 😎
 
Msimamo wangu uko pale pale kuwa siku hizi hakuna mapenzi ya kweli. Kama ambavyo wanaume huwa mnaangalia sura na matako kwa wanawake (utadhani wamejiumba) basi acheni na wanawake waangalie pesa na vingine wanavyovijua wao kwa wanaume maana vyote hivyo siyo vigezo vya mtu kuwa mke mwema wala mume mwema.
Mapenzi ya kweli yapo hata kwangu ila ukiacha tabia ya kutanguliza hela mbele..Ntakuvumilia hata kama una sura kama BF Goodrich na huna tako usijali ila njaa njaa ndio sitaki. Sawa mrembo???😎
 
Kusema kweli mimi siwezi kuwa na mwanaume asiyenipa pesa iwe kwa kutoa mwenyewe au kwa kumuomba.
Siwezi kabisaaaa kwanza advertise zangu utaniacha mwenyewe.
Corner Bar ni mahali salama kwa Afya yako.
 
Hivi mwanaume anayetoa hela unaanzaje kumuacha?

Unaanzaje kuwa mkaidi kwake? Unaanzaje kumpimia kumpa bumunda?

Unaaanzaje kutokumsuprize na msosi wa maaana na kuona kitu kizuri kumnununulia?

Mwanaume anayetoa hela ni dhambi sana kumnunia.
Mwanaume akija au ukitembea nae kila mtu anajua huyu ni mwanaume hata yeye anajiamini kifua mbele anatembea na mkono amemshika mwanamke wake.
Hii ndio ile boss hanuniwi au sio?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom