Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee kumbe huu mchezo ni wa wengi eenh
 
Aisee nmecheka kinoma na hii comment 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahaaa nyie wanawake nawafahamu vizuri sana, mnawaomba pesa wanaume ambao hamjavutiwa nao kingono, akija mwanaume anaekuvutia, handsome ambae ukimwona papuchi inaloa, unampa papuchi ya bure kirahisii..unasahau kumuomba hela Zoë
Basi na wewe kuwa handsome ili upewe papuchi ya bure! Ninyi kuangalia sura na matako ni fresh ila sisi kuangalia pesa ni jau siyo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee kumbe huu mchezo ni wa wengi eenh
Nimekumbuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Basi na wewe kuwa handsome ili upewe papuchi ya bure! Ninyi kuangalia sura na matako ni fresh ila sisi kuangalia pesa ni jau siyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kitandani wewe hupapasi nywele? Hupapasi tako? Au unataka nywele itengenezwe vizuriii wewe uje utibue kama bata bwaawani halafu uondoke bila service.

Baba hata basikeli tu inahitaji service woooi.
Hahahahah hii kiboko 😂😂😂
 
Ndio hali halisi, unamenyeka mwenzio ana slide kama powerpoint!🤣🤣🤣
 
Hata wanaume mna miujiza yenu mikubwa kuliko hiyo. Nashangaa kwanini mnatulaumu sisi tu kila mtu ashinde mechi zake aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…