Can you date a guy without asking him for Money?

Mpare kumbe kelele zote hizo ni unataka kuhudumiwa[emoji134][emoji134]
We tafuta pesa bwana kwaajili yako na yetu, na usisubiri kuombwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dating is natural but money aint!!
Hivyo usihusishe kutaka kwetu pesa na mahaba mazito tuliyo nayo kwenu. Tunapowaomba pesa ni kwasababu tunahitaji pesa kukimu mambo fulani fulani, nanyi ndio mahabuba sasa unategemea nani atoe kama sio wewe?

Mpare toa pesa bwana.
 
@amu kuna mpare anakusaka huku.
 
We utakuwa mzawa wa Capital City bila shaka. "Matonyaizm Policy"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haujakosea kabisa. Pesa zenu tamu sana na zinachangamsha mnooo mahusiano. Msiache kutoa jamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee kumbe huu mchezo ni wa wengi eenh
Ujinga tu badala watafute pesa, wanamchosha tu Maghufuli wa watu kuhangaika kufikia uchumi wa kati.
 
Ni kweli nilizonazo hazijafikia stage ya kuzigawa hovyo bado niko kwenye kutafuta. Isitoshe pia kuomba omba hela sio adabu njema morally.

Kuhusu majority they don't like kuombwa hela hilo liko wazi.
Basi toeni kabla hatujaomba.
 
Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
Naomba No yako Dada kama Una sura nzuri na Kalio lipo ha ha haaaa
 
Yes inawezekana, kinachotakiwa hapo ni tutakuwa tunawasiliana vizuri, tunapanga mipango ya hapa na pale... Mahitaji yote nitapata kwa wazazi..... Ila ikumbukwe hakutakuwa na sex sababu ewe kiumbe mwanaume hujanilipia mahari kwetu...... So itabidi ufanye juhudi za kupeleka mahari na taratibu za ndoa zifuatwe kisha tuanze kunyanduana, asubuhi, mchana, jioni, usiku n. K
 
Safi kabisa.
 
Nakupendaga bure walah, hivi wanasahau wakitaka kuoa wanatoa mahari??? Kuna mzazi alitoa mwanawe kama pipi???
Wanataka mtelezo utafikiri baba zao waliteleza hivyo. Sasa sijui huu ujinga wameurithi wapi[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…