Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Yeah, hii ndio definition ya love is a two way traffic na binafsi naheshimu sana mwanamke ambaye she is ready to spend her money on me. Yani sio tutumie zangu tu ila na yeye ajitoe kwa ajili yangu. Huwa nampenda head over heels mwanamke wa namna hii!

It really drives me nuts nikiwa na mwanamke very open and mwenye rich heart. Ni ngumu sana mwanamke wa aina yako kuwa na roho ya kibinafsi ile ambayo ni major turnoff kwa wanawake wengi wa kileo.
Mpare kumbe kelele zote hizo ni unataka kuhudumiwa[emoji134][emoji134]
We tafuta pesa bwana kwaajili yako na yetu, na usisubiri kuombwa.
 
Whats the point of dating kama you won't give her the pussy.

You guys are just confusing matters. Dating is natural kwa wanyama na hata binaadamu. Main point ya ku date ni kutengeneza genetic bonds kupitia sexual interaction.

Hizi pesa ni medium of exchange kibiashara. Sasa sielewi connection ya pesa na dating inakujaje. Unless otherwise pussy iwe moja ya commodities zinazothaminishwa na pesa and that being said all women with your kind of thinking should be identified as Sluts. Huu ni ujinga ambao must come to an end!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dating is natural but money aint!!
Hivyo usihusishe kutaka kwetu pesa na mahaba mazito tuliyo nayo kwenu. Tunapowaomba pesa ni kwasababu tunahitaji pesa kukimu mambo fulani fulani, nanyi ndio mahabuba sasa unategemea nani atoe kama sio wewe?

Mpare toa pesa bwana.
 
Demu kama huyu unakuta anamiliki kilimanjaro crater inayofuka ng'onda kama kambale aliyechacha. Ila tambo zake unaeza hisi ni Alicia Keys.

Au unakuta ana sura ya fiat af nyuma kama ukuta uliopigwa plasta. Hawa ndio wale cheerleaders kwenye ki group cha mademu.
@amu kuna mpare anakusaka huku.
 
We utakuwa mzawa wa Capital City bila shaka. "Matonyaizm Policy"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haujakosea kabisa. Pesa zenu tamu sana na zinachangamsha mnooo mahusiano. Msiache kutoa jamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee kumbe huu mchezo ni wa wengi eenh
Ujinga tu badala watafute pesa, wanamchosha tu Maghufuli wa watu kuhangaika kufikia uchumi wa kati.
 
Ni kweli nilizonazo hazijafikia stage ya kuzigawa hovyo bado niko kwenye kutafuta. Isitoshe pia kuomba omba hela sio adabu njema morally.

Kuhusu majority they don't like kuombwa hela hilo liko wazi.
Basi toeni kabla hatujaomba.
 
Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
Naomba No yako Dada kama Una sura nzuri na Kalio lipo ha ha haaaa
 
Yes inawezekana, kinachotakiwa hapo ni tutakuwa tunawasiliana vizuri, tunapanga mipango ya hapa na pale... Mahitaji yote nitapata kwa wazazi..... Ila ikumbukwe hakutakuwa na sex sababu ewe kiumbe mwanaume hujanilipia mahari kwetu...... So itabidi ufanye juhudi za kupeleka mahari na taratibu za ndoa zifuatwe kisha tuanze kunyanduana, asubuhi, mchana, jioni, usiku n. K
 
Yes inawezekana, kinachotakiwa hapo ni tutakuwa tunawasiliana vizuri, tunapanga mipango ya hapa na pale... Mahitaji yote nitapata kwa wazazi..... Ila ikumbukwe hakutakuwa na sex sababu ewe kiumbe mwanaume hujanilipia mahari kwetu...... So itabidi ufanye juhudi za kupeleka mahari na taratibu za ndoa zifuatwe kisha tuanze kunyanduana, asubuhi, mchana, jioni, usiku n. K
Safi kabisa.
 
Nakupendaga bure walah, hivi wanasahau wakitaka kuoa wanatoa mahari??? Kuna mzazi alitoa mwanawe kama pipi???
Wanataka mtelezo utafikiri baba zao waliteleza hivyo. Sasa sijui huu ujinga wameurithi wapi[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Back
Top Bottom