Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mpare kumbe kelele zote hizo ni unataka kuhudumiwa[emoji134][emoji134]Yeah, hii ndio definition ya love is a two way traffic na binafsi naheshimu sana mwanamke ambaye she is ready to spend her money on me. Yani sio tutumie zangu tu ila na yeye ajitoe kwa ajili yangu. Huwa nampenda head over heels mwanamke wa namna hii!
It really drives me nuts nikiwa na mwanamke very open and mwenye rich heart. Ni ngumu sana mwanamke wa aina yako kuwa na roho ya kibinafsi ile ambayo ni major turnoff kwa wanawake wengi wa kileo.
We tafuta pesa bwana kwaajili yako na yetu, na usisubiri kuombwa.