Can you date a guy without asking him for Money?


Hata usihangaike mwenzio kakopy hicho kiinglish chote kaumbuliwa kakimbiaaa
 
Baadaye alisema anatania
Alipo ni saa tano..
Ngoja nitakuja kule tuhakikishe.
 

Nakuambia hii ya kudate na mwanaume hakupi pesa kwa wanaume wa kibongo haifai kabisa tuachie wazungu hata wao pia wanahonga sanaa tu,
Mtu hunioi,unakuta una mademu kibao
Yaan niwe na shida nikate kimya tu na Nina mpenzi ananikunjaga kama Tairi

Nyie wapenzi wenu wana shida sanaaa na mnakuwaga ni wachoyo tu na roho mbayaa
Mi wangu ananipa asiponipa hajisikii vizuri kabisa kama hana najua hana natumia zangu
Afu mlivyo na dharau sasa bora hata mngekuwa honest tungeelewa,wengi wenu bla bla tu ,uongo mwingi,umalaya sasa kila mtaa mna mademu

Weee niwache
 
Umeona eenh. Jamaa atakuwa na phd in copying and pasting.

Haya mambo haya. Yaani mi kwa kweli kama kitu sijui ni sijui siwezi force kujua. Humu ndani kuna watu wanajua vitu vingi sana ila huwa wako low key. Maana kujua siyo shida ila shida ni kujifanya unajua wakati hujui matokeo yake ndiyo haya.
 

Mbona unaanza kuattack tena
Umepanick au Bora tu muombwe pesa aisee unaona mlivyo na dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…