miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Haiwezekani kwa hiyo nikuletee kwa gharama zangu. No way
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie wanaume mnapata wapi nguvu za kuandika maneno Mengi hivi?
Omba hela usife kwa njaa kisa heshima .. utaumbuka MtaaniSasa ninashida nimebanwa labda nacheza mchezo nimezungushwa nadaiwa kodi unategema nifanyaje?
Na baby yupo.
Ni kudraft tu maombi.
Wewe kwenye chumba cha mtihani ulikuwa vizuri kwenye chabo aisee
Hivi unajua kuna app ukicopy na kupest tuu inaonekana?
Upo Dada ?Omba hela usife kwa njaa kisa heshima .. utaumbuka Mtaani
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
K
Kudumu ni ngumu maana imekuwa pussy money chase game. You spill some cash you get to her thighs. Melt that pretty round thing then you look for the next prey!
Na hii ni standard ambayo wameiset wanawake wenyewe.
Enzi zetu zile miaka ya 90 people used to be genuine. Utamtaka mwanamke itamchukua muda ila atakukubalia without doing any favours for her. Mtadumu hadi kuoana kabisa. Sio leo bro! Pesa ndio Visa!
Baadaye alisema anataniaOohh kumbe ilikuwa saa tano asubuhi sasa nimeelewa. Mwanzo nilijua kamaanisha saa tano usiku ndiyo maana nikabaki najiuliza hiyo EDT mbona ni ya magharibi na siyo ya mashariki na kwa kawaida nchi zote za magharibi ziko nyuma yetu kimuda.
Lakini mbona kama aliaga usiku mwema au mimi ndiyo nilisoma vibaya
Jamaa ni boya, wamekuja kikosi kazi wamempasua vipande vipande sijui hata katokomea wapi jamaa.Hata usihangaike mwenzio kakopy hicho kiinglish chote kaumbuliwa kakimbiaaa
Wapi huko umekumbuka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah ulivyosema msemaji mkuu umenikumbusha mbali
Whats the point of dating kama you won't give her the pussy.
You guys are just confusing matters. Dating is natural kwa wanyama na hata binaadamu. Main point ya ku date ni kutengeneza genetic bonds kupitia sexual interaction.
Hizi pesa ni medium of exchange kibiashara. Sasa sielewi connection ya pesa na dating inakujaje. Unless otherwise pussy iwe moja ya commodities zinazothaminishwa na pesa and that being said all women with your kind of thinking should be identified as Sluts. Huu ni ujinga ambao must come to an end!
Haya mengine mkamlizie pm msije kutujazia thread bure [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimekupenda[emoji3590]
Una mtazamo Kama wangu..
Wewe nadhani tunaendana baadhi ya mambo[emoji3526]
Umeona eenh. Jamaa atakuwa na phd in copying and pasting.Naye alijiongeza akawa anachanganya na kiswahili
Halafu anabadilisha na kufupisha baadhi ya maneno
Mf; believe ataandika blv
Love ataweka luv
Hii dunia ina Mambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Demu kama huyu unakuta anamiliki kilimanjaro crater inayofuka ng'onda kama kambale aliyechacha. Ila tambo zake unaeza hisi ni Alicia Keys.
Au unakuta ana sura ya fiat af nyuma kama ukuta uliopigwa plasta. Hawa ndio wale cheerleaders kwenye ki group cha mademu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chief Relation Officer huyo! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi na wewe tena shoga yanguUsinisahau shoga
Basi na wewe kuwa handsome ili upewe papuchi ya bure! Ninyi kuangalia sura na matako ni fresh ila sisi kuangalia pesa ni jau siyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujinga tu badala watafute pesa, wanamchosha tu Maghufuli wa watu kuhangaika kufikia uchumi wa kati.
We mwanamke unanikoshaga sana ujue [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wallahi umeshindikanaHahhaaa kuna mwanaume bado yupo hapa anashusha magazeti?
wenzie wamekumbatia watoto wazuri saa hizi