Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale maisha hata sitaki kuyarudia kwa kweli, sema mie kipindi kile muda mwingi nilikuwa chuo yaani ilikuwa kama sisomi au sili au silali basi niko JF.
 
Kazi imeanza kwa uzi wa daby
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale maisha hata sitaki kuyarudia kwa kweli, sema mie kipindi kile muda mwingi nilikuwa chuo yaani ilikuwa kama sisomi au sili au silali basi niko JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mm napenda wadada wasioomba hela, shida ni kuwa hawa wadada wasioomba hela, wengi wao hawana chura Saint Anne kabanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkipenda chura kubalini kutoa hela.

Kuna wadada wanachura na hawaombi hela, wengine wanayo na hawaombi.
Wengine hawana na wanaomba, wengine hawana na hawaombi.

Wewe ni muongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…