Can you date a guy without asking him for Money?

Words
 
Aka kadada kanaakili mkuu nahisi katakua below 25, na uyo mwenzie binti wanaakili sana. Nikiwaza kulumbembe langu linavonipiga mizinga non stop naishiwa nguvu kabisa, I wish angekua kama hawa.
Hahaha aisee.. Kwani umelazimishwa kuendelea kubaki na huyo kulumbembe
 
Sasa ninashida nimebanwa labda nacheza mchezo nimezungushwa nadaiwa kodi unategema nifanyaje?
Na baby yupo.
Ni kudraft tu maombi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliwahi kuandika sehemu humu.. kutoa hela Mwanaume ni kipaji kama kipaji kingine aisee...

Kuna Wanaume hawaombwi eti.. yaani ni yule anajua Baby anataka nini? Ukizungumzia unataka kwenda Saloon atakuuliza atakuuliza unahitaji Shilingi ngapi? Imagine????.. Ni wale Wanaume wanasimama kwenye nafasi zao..

Unakuta Mwanaume anauwezo/ anakila kitu ila hata mia yake huipati.. Mnaweza kwenda sehemu mnaspend hata Million.. ila siyo mtoaji.. Mwingine Maisha yake ni ya kawaida sana.. ila atakupa kila utakachohitaji bila hata kumuomba..

Binafsi nami ni mzito sana kumuomba Mwanaume hela aisee.. Napenda wale Wanaume Wasiosubiri kuombwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…