hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
HallelujahhhhhNajisikia kawaida tu maana jukumu la kunitunza ni la wazazi wangu..
Wananitunza vizuri sijawahi kosa chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HallelujahhhhhNajisikia kawaida tu maana jukumu la kunitunza ni la wazazi wangu..
Wananitunza vizuri sijawahi kosa chochote.
Nilikuwa namjibu kwa kifupi tu.Ulikuwa unahangaika kujadiliana naye huyu?
Hahahaha jf bwana... Labda hana lengo la kuolewa kwa sasaKwahiyo kutokuomba kwako hela kote mpaka leo hujaolewa bibie...? Anza kuomba tu
Well saidNiombe za Nini?
Kwani kutokuomba hela ni tiketi ya ndoa??
Muda wa kuolewa ukifika nitaolewa..sijaolewa kwa sababu muda wa Mimi kuolewa bado haujafika.
Kila Jambo Lina wakati wake.
HahahqhSasa ni date au penpal?
MmhhHahaha
Hiyo ni date mkuu
WordsI definitely can date a guy without asking for money. There is something special about a woman who genuinely dates for love than money [emoji3531]
Kumuomba mwanaume hela anae kutongoza ama ambae mpo kwenye mahusiano KWA MTAZAMO WANGU mie Binti1 :
Inaondoa heshima mwanamke kwasabu thamani yako unaifananisha na pesa. Sasa mwanaume atakupa kiasi gani kufikia thamani yako?
Mwisho wa siku unaonekana rahisi....Imagine kupewa 20k,50k, 100k a woman is way worth than that!!
Ku date kwa hela ina maana siku mwanaume akiishiwa au akiyumba hatamdate...so hapo anakua hana upendo wa kweli!!
Nadhani mwanaume pia atakua comfortable kumheshimu mwanamke asiyeomba hela .Na ikitokea ameomba ni kwasababu genuine labda amekwama kwenye jambo na anahitaji support.
Sasa mwanamke anaepiga mzinga kila siku anaweza kupata na shida akakosa msaada mkubwa kwasababu siku zote anaomba hela zisizo na msingi.
Na sijui nani ametuharibu wadada wa siku hizi.Kigezo kikubwa cha ku date mwanaume lazima awe na hela. Matokeo yake unajikuta unakosa upendo wa kweli.
Tusio omba hela tutaonekana washamba na tumechelewa mjini [emoji1][emoji1]
HahahahaAnother endangered specie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kuhusu pesa hata uniandikie kilatini, lazima niombe. Hutaki nipe mwenyewe kabla sijakuomba.
Nahisi hiyo harufu aisekila 'she' wa JF atakana haombi ela
HahahahahahahwhDating without asking for money?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] what a night mare!!!!
Hahaha nakaziaWahuni sio watu [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hahaha aisee.. Kwani umelazimishwa kuendelea kubaki na huyo kulumbembeAka kadada kanaakili mkuu nahisi katakua below 25, na uyo mwenzie binti wanaakili sana. Nikiwaza kulumbembe langu linavonipiga mizinga non stop naishiwa nguvu kabisa, I wish angekua kama hawa.
Naam nikweliMkuu siku hizi maandishi ya mtu hayaleti definition kwamba huyo ni mtu wa aina gani.
HahahaHayo ndio mambo sasa, bila hivyo mahusiano yanakuwa yamepooza sana[emoji1787]
HahahaAwa wetu mkuu tunapoelekea wataanza kutuomba adi viungo vya mwili asee, mfano moyo,figo nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ninashida nimebanwa labda nacheza mchezo nimezungushwa nadaiwa kodi unategema nifanyaje?
Na baby yupo.
Ni kudraft tu maombi.
Aliyekuambia sisi hatuendi kanisani nani?Napitia koments tu nikishamaliza niende kanisani kutafuta asiyependa dosh.
HahaaaMm napenda wadada wasioomba hela, shida ni kuwa hawa wadada wasioomba hela, wengi wao hawana chura Saint Anne kabanga