amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Nimuonee aibu mwanaume ambae ananibinjua? Nina shida na yeye yupo? Hata hela ya kula kuku kama sina namuambia vizuri tu.Aaaah kabisa, baby lazima aokoe jahazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimuonee aibu mwanaume ambae ananibinjua? Nina shida na yeye yupo? Hata hela ya kula kuku kama sina namuambia vizuri tu.Aaaah kabisa, baby lazima aokoe jahazi.
Akhsante mkuuNakupenda
Huruma hiyo vipi? Mbona shida mie hazinionei huruma!!!Nimuonee aibu mwanaume ambae ananibinjua? Nina shida na yeye yupo? Hata hela ya kula kuku kama sina namuambia vizuri tu.
😁😁 dah eti ananibinjua, ila sometimes mwanamke akikuomba hela ukamtimizia unajihisi kidumeNimuonee aibu mwanaume ambae ananibinjua? Nina shida na yeye yupo? Hata hela ya kula kuku kama sina namuambia vizuri tu.
Huo ndo ukweli.Unanitisha Sasa dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@ Jael Why would u ask for money from a guy u’re dating for the first site or always? Do u need a loan or do u just want money from him? I don’t think either is a good choice aseeeeeh, ndio maana siku hizi mahusiano ya wadada na Vijana hata hayadumu.Hebu acheni kuwaendekeza hawa viumbe, ndio maana wanakauwa viumbe vya ajabu ajabu. Hebu siku moja moja kama hajiongezi mstue na hitaji la hela ilochangamka nae achangamke ajue yeye ni nani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umewakosha sana.Akhsante mkuu
Kuna comment yangu nyingine ilifwata baada ya hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umewakosha sana.
Unaona sasa unakuja kule kule huo ni ukweli ninaona kabisa akiwa amenipa baadae message zake.[emoji16][emoji16] dah eti ananibinjua, ila sometimes mwanamke akikuomba hela ukamtimizia unajihisi kidume
Yani wewe dada umezaliwa bongo bahati mbaya ingetakiwa uwe uko uphilipinoWarembo let's be honest here...Huyo anaekupa hela siku mkiachana lazima utalazimika kuwa na mwingine mwenye hela ili uendelee kuwa na life style unayotaka....sasa inatofauti gani na kujiuza??? (Samahanini kama nitawakwaza)
Halafu mahusiano ya kupewa hela hayakupi uhuru; utashindwa kuwa na maamuzi , atakutumia anavyopenda mbaya zaidi atakunyanyasa au kukudhalilisha kwasabu amekununua.
Raha ya mahusiano in my opinion ni kupanda zawadi akupe na wewe umpe.Suala la hela ni pale ukikwama akusaidie na wewe akwama mpe.
Maybe I'm too old school ila siwezi kukubali mwanaume ninae mpenda anipe hela ili kununua upendo wangu.
Mimi even if we go for a date we'll split the bill if we have to!
Sent using Jamii Forums mobile app
I can't [emoji106] this enough sweetheart.Niombe za Nini?
Kwani kutokuomba hela ni tiketi ya ndoa??
Muda wa kuolewa ukifika nitaolewa..sijaolewa kwa sababu muda wa Mimi kuolewa bado haujafika.
Kila Jambo Lina wakati wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ninacheka sina mbavu.Kuna comment yangu nyingine ilifwata baada ya hiyo.
Nadhani hiyo itawatengua mioyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Msisingizie mahusiano hayadumu kisa kuombwa hela bwana we!! We ukishindwa kuendesha mahusiano yako ni wewe tu usisingizie mambo madogo ambayo hayahusiani.@ Jael Why would u ask for money from a guy u’re dating for the first site or always? Do u need a loan or do u just want money from him? I don’t think either is a good choice aseeeeeh, ndio maana siku hizi mahusiano ya wadada na Vijana hata hayadumu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Unaona sasa unakuja kule kule huo ni ukweli ninaona kabisa akiwa amenipa baadae message zake.
Au ile mfano kahisi kuna kamtu kanamendea ule mkwara wake sasa mostly anakuwa pride na alivyotoa na anavyotoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ninacheka sina mbavu.
[emoji3526]I can't [emoji106] this enough sweetheart.
Halafu wenzetu wote hawapo na sisi wametusaliti [emoji23][emoji23][emoji23]Huruma hiyo vipi? Mbona shida mie hazinionei huruma!!!
Ma dia that ideology it's not applicable in mostly African ladies ..thank u
[/QUOTE